Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio)

Leo Dec 28 2015 klabu ya Dar es salaam Young African  imetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana mchezaji Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, Hapa nakukutanisha na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Jerry Muro akielezea sababu za maamuzi hayo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika […]

The post Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video)

Rapper wa kike mrembo kabisa Nicki Minaj anakuwa mmoja ya mastaa wa Marekani na mastaa wakubwa Duniani waliogonga vichwa vya habari kwa kufanya show za nguvu kwenye nchi za Africa. Mzigo mzima wa Nicki Minaj ulikuwa ni Angola weekend iliyopita na hapa nina kipande cha video kuanzia Nicki anatua Airport, show yake kwenye stage, na […]

The post Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 45 za mwisho ngumu Simba, Yanga

Wakati mechi ya watani wa jadi ikitarajiwa kufanyika Jumamosi, safu za ulinzi za Simba na Yanga zimeonekana kutokuwa makini, dakika 45 za kipindi cha pili.

 

10 years ago

Mwananchi

UDHAIFU: Dakika 45 za mwisho zaiua Yanga SC

>Ni nguvu ya soda. Hivyo, ndivyo unavyoweza kuzungumzia Yanga ambayo imekuwa ikisifika nchini kuwa na beki imara iliyotengeneza ukuta mgumu, usiopitika kwenye mechi za Ligi Kuu msimu huu, lakini ndiyo imeonekana  nyepesi  zaidi kwa mabao kipindi cha pili.

 

9 years ago

MillardAyo

Dakika 7 za Kumwembe na Saleh Ally wakichambua kuhusu Chelsea kumtimua Mourinho, ni sahihi? kosa lake … (+Audio)

Headlines za soka la kimataifa kwa sasa ni kuhusu uongozi wa klabu ya Chelsea kuamua kumuachisha kazi Jose Mourinho, taarifa ambazo zilitoka mchana wa December 17. Kila mtu kaongea lake ila AMPLIFAYA ya Clouds FM iliwatafuta wachambuzi na waandishi wa habari za michezo Edo Kumwembe na Saleh Ally kuhusu uamuzi wa Chelsea kumfuta kazi ni uamuzi […]

The post Dakika 7 za Kumwembe na Saleh Ally wakichambua kuhusu Chelsea kumtimua Mourinho, ni sahihi? kosa lake … (+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Sekunde 40 za katibu wa Yanga akizungumzia kuhusu Niyonzima kusimamishwa (+Audio)

Headlines za soka la Bongo December 17 zilikuwa ni stori za kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayechezea klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima, kuwa klabu ya Yanga kupitia kwa katibu mkuu wake , ambaye ndiye mtendaji mkuu wa Klabu DK Jonas Tiboroha imeamua kumfungia kiungo huyo kwa muda usiowekwa wazi. Amplifaya ya Clouds FM […]

The post Sekunde 40 za katibu wa Yanga akizungumzia kuhusu Niyonzima kusimamishwa (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

[AUDIO] Dakika 90 za dunia..Uchaguzi Nigeria

Bahati Alex wa Capital Radio Dar Es Salaam na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production Washington DCWiki hii, historia imeandikwa kwenye siasa za Afrika. Nchi yenye watu wengi na uchumi mkubwa barani Afrika , Nigeria,  imeshuhudia mabadiliko ya uongozi ya amani kupitia sanduku la kura. Hii ni mara ya kwanza kwa jambo hilo kutokea tangu iondokane na utawala wa kijeshi mwaka 1999. Lakini pia, kuna mengi ambayo yamejitokea katika uchaguzi huo, na ambayo yanatazamwa sana kuelekea miaka minne...

 

11 years ago

Michuzi

[AUDIO]. DAKIKA 90 ZA DUNIA: Maadhimisho ya Kwibuka20, Washington DC

 Wiki kama hii, miaka 20 iliyopita, nchi ya Rwanda ilishuhudia kuanza kwa mauaji ambayo kwa siku 99 zilizofuata, yaliacha historia mbaya na ambayo itaendelea kukumbukwa na vizazi vijavyo. Ndani ya siku 100, watu wanaokadiriwa kufika milioni 1 waliuawa katika mauaji ya kimbari. Miaka 20 baadaye (mwaka huu), dunia nzima imeungana na Rwanda kukumbuka kile ambacho wengi wanaona kuwa kilitokea na kuachwa kuendelea kutokana na Jumuiya ya kimataifa kutoingilia kati na kutoa msaada muafaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani