Sekunde 40 za katibu wa Yanga akizungumzia kuhusu Niyonzima kusimamishwa (+Audio)
Headlines za soka la Bongo December 17 zilikuwa ni stori za kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayechezea klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima, kuwa klabu ya Yanga kupitia kwa katibu mkuu wake , ambaye ndiye mtendaji mkuu wa Klabu DK Jonas Tiboroha imeamua kumfungia kiungo huyo kwa muda usiowekwa wazi. Amplifaya ya Clouds FM […]
The post Sekunde 40 za katibu wa Yanga akizungumzia kuhusu Niyonzima kusimamishwa (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)
Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]
The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio)
Leo Dec 28 2015 klabu ya Dar es salaam Young African imetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana mchezaji Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, Hapa nakukutanisha na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Jerry Muro akielezea sababu za maamuzi hayo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika […]
The post Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Niyonzima aichefua Yanga
KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema amekasirishwa na kitendo cha mchezaji wake Haruna Niyonzima kuchelewa kuungana na wenzake kwa ajili ya michezo ya ligi huku akishindwa kabisa kutoa sababu zilizomfanya kuchelewa huko.
9 years ago
Habarileo29 Dec
Niyonzima kwaheri Yanga
KLABU ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji wake Haruna Niyonzima baada ya kudaiwa kuvunja sheria na taratibu za muajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa vyombo vya habari jana, Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu hiyo dola za Marekani 71,175 kufidia gharama ambazo imezitumia katika kumuongezea mkataba wake mpaka mwaka 2017.
10 years ago
TheCitizen18 Sep
Yanga stronger than ever, says Niyonzima
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Niyonzima aitishia nyau Yanga
9 years ago
Habarileo25 Dec
Niyonzima sasa kujieleza Yanga
KATIBU Mkuu wa Yanga Dk Jonas Tiboroha, amesema uongozi wa klabu hiyo umemtaka kiungo wake Mnyarwanda Haruna Niyonzima kujieleza kwa maandishi kwanini asichukuliwe hatua kwa utovu wa nidhamu alioonesha.