Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Simba ataka dakika 180 kuimaliza Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic, amesema anahitaji mechi mbili zaidi zikiwa ni dakika 180 ili kuweza kukipima kikosi chake kabla ya mechi yao ya Mtani Jembe dhidi ya Yanga. Mechi ya Mtani Jembe inatarajiwa kupigwa Desemba 21 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Logarusic amepewa mkataba wa miezi sita wa kuitumikia Simba baada ya kutimuliwa kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dakika 180 Yanga SC bingwa

Dar es Salaam. Yanga inasubiri dakika 180 ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya jana kuifunga Stand United ya Shinyanga kwa mabao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam, Simba spidi 180

Kama ilivyobashiriwa mapema kuwa Yanga, Azam kasi na Simba kisasi, ndivyo matokeo ya mechi za jana za Ligi Kuu yalivyotokea.

 

10 years ago

Vijimambo

AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0

 Timu ya Yanga imeendeleza uteja tena leo katika mchezo wa wahasimu hao uliochezwa uwanja wa taifa leo baada ya timu ya Simba kuibamiza Yanga goli 1 bila majibu goli lililofungwa na Emmanuel Okwi mchezaji aliyeikimbia timu hiyo yenye masikani yake Jangwani katika dakika ya 52. Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwa katika mpambano.Mchezaji Simon Msuva akijaribu kufanya mashambulizi goli mwa Simba shuti lake halikuweza kuleta madhara yeyote mpaka dakika 90 Simba 1 na Yanga 0. Picha kwa hisani ya...

 

9 years ago

GPL

VPL: YANGA 2-0 SIMBA, DAKIKA 90 ZIMEKWISHA

Kikosi cha timu ya Yanga Kikosi cha timu ya Simba Mashabiki wa Yanga. Mashabiki wa Simba.…

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 45 za mwisho ngumu Simba, Yanga

Wakati mechi ya watani wa jadi ikitarajiwa kufanyika Jumamosi, safu za ulinzi za Simba na Yanga zimeonekana kutokuwa makini, dakika 45 za kipindi cha pili.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunaifungaje Algeria kwa kamati za dakika 180?

JUMATANO ya Aprili 15, 2015, katika ukurasa huu niliandika makala kuhusu timu ya taifa Tanzania ‘

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanacheza na Mbeya City leo kwenye Uwanja wa Sokoine, lakini kocha wao mkuu, Hans Pluijm amewaambia vijana wake ili mchezo huo uwe na manufaa kwao, waache na utovu wa nidhamu, wasiwaige wapinzani wao.

 

5 years ago

Michuzi

JOTO LAZIDI KUPANDA MECHI YANGA NA SIMBA, DAKIKA 90 ZA MCHEZO KUAMUA NANI MBABE

Na Said Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

KADRI muda unavyosonga mbele kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa leo Machi 8 mwaka huu 2020, saa 11 jioni mashabiki lukuki wameanza kujitokeza katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku kila upande ukiwa umejawa na tambo za ushindi.

Mechi ya Yanga na Simba ni moja ya mechi ambazo zimekuwa na utamaduni mkubwa wa kujaza mashabiki, wapenzi na wachama wa vilabu hivyo hasa kwa kuzingatia ni mechi ambayo hutawaliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani