Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uteuzi wa Kikwete waikoroga CCM

>Uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuwaacha katika Baraza la Mawaziri, mawaziri wote waliotajwa na CCM kuwa wameshindwa kutekeleza majukumu yao umekichanganya chama hicho, baada ya jana kusema kuwa hakitasita kuchukua hatua kali dhidi ya mawaziri hao na wengine, iwapo watashindwa kurekebisha upungufu wa kiutendaji unaozikabili wizara zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete afanya uteuzi Mambo ya Ndani

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Seperatus Fella kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Kamati ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu. Kabla ya uteuzi huo, Fella alikuwa Kaimu Katibu wa Kamati hiyo na uteuzi wake ulianzia Agosti mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI KATIKA MAHAKAMA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi katika Mahakama kama ifuatavyo;

Rais amemteua Bi. Katarina Revocati kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (Chief Registrar).  Kabla ya uteuzi huu,  Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani.


Rais pia  amemteua Ndugu John Rugalema Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani na kabla ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Laurence Nyasebwa Mafuru (pichani)  kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014. Taarifa iliyotolewa  Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB).  Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...

 

10 years ago

StarTV

CCM yatefanya uteuzi wa makatibu wa Wilaya 27.

Na Blaya Moses, Dodoma.

 

Kamati kuu ya chama cha mapinduzi ccm imeendelea na kikao chake mjini dodoma kwa kuwateua makatibu wa wilaya ishirinini na saba kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo wengine kufariki dunia na kumaliza muda wao wa utumishi ndani ya chama

 

Aidha kikao hicho pia kimejadili namna chama hicho kitakavyojipanga ili kuhakikisha kinaibuka na ushindi katika uchaguzi wa seriakli za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Disemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aionya CCM uteuzi wa wagombea

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amezitaka ngazi mbalimbali za uteuzi wa wagombea wa CCM kuwapa wananchi nafasi kuchagua watu wanaowataka ili kuepuka kupoteza viti katika uchaguzi.

 

10 years ago

Habarileo

CCM: Tutakuwa makini uteuzi wabunge

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uteuzi wa wagombea ubunge na uwakilishi, utazingatia yale yaliyofanyika katika uteuzi wa mgombea wao wa urais, na kusisitiza kuwa kuongoza kura za maoni sio mwisho wa safari, bali kigezo cha kuelekea katika uteuzi.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani