Hata 2015 tutakuwa wasindikizaji
Vyama vya michezo nchini mara kwa mara katika dakika za mwisho mwisho vimekuwa vikitafuta fedha kwa ajili ya kuwaweka kambini wanamichezo wao yanapokaribia mashindano ya kitaifa au kimataifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Tusipowekeza katika michezo, tutaishia kuwa wasindikizaji
MASHINDANO ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) ya mwaka huu, yalifikia tamati mwishoni mwa wiki mjini Kibaha, Mkoani Pwani. Katika mashindano hayo, kanda ya mashariki imeibuka...
10 years ago
MichuziIKULU NI ZAMU YANGU WENGINE WASINDIKIZAJI - MONICA MBEGA
WAKATI mbio za makada wa chama cha mapinduzi (CCM) waliotia nia ya kuomba kuteuliwa kuwa wagombea wa nafasi za urais zikiendelea kushika kasi kwa kila mgombea kutumia mbinu yake ya kuwafikia wana CCM kuomba udhamini , aliyekuwa mbunge wa jimbo la Iringa mjini Monica Mbega leo ameingia wilaya ya Iringa mjini mkoani hapa kuomba udhamini na kupata wajumbe 33 huku akiwataka watanzania kutoaminishwa na mbwembwe za watia nia wenzake wanazofanya...
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Monica Mbega: Ikulu ni zamu yangu wengine wasindikizaji
![3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/39.jpg)
![01](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/012.jpg)
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Bila kuondoa kasoro chaguzi Serikali za Mitaa, wapinzani ni wasindikizaji tu
10 years ago
Habarileo27 Feb
‘Tutakuwa wawazi uchimbaji mafuta
KUTOKANA na Sekta ya Nishati, Gesi na Mafuta kuwa sekta muhimu inayotupiwa macho kama eneo nyeti la uwekezaji, serikali imesema huu ni wakati wa kuwaweka Watanzania na wadau wazi kila mmoja afanye kazi yake kulingana na uwezo wa taaluma yake.
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Tutakuwa nchi ya walalamikaji mpaka lini?
JUZI Naibu Spika, Job Ndugai, aliitaka Serikali kushughulikia suala la mauaji ya Kiteto yanayotokea mara kwa mara kiasi cha kulifananisha eneo hilo na nchi ya Somalia. Somalia ni miongoni mwa...
10 years ago
Habarileo04 Aug
CCM: Tutakuwa makini uteuzi wabunge
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uteuzi wa wagombea ubunge na uwakilishi, utazingatia yale yaliyofanyika katika uteuzi wa mgombea wao wa urais, na kusisitiza kuwa kuongoza kura za maoni sio mwisho wa safari, bali kigezo cha kuelekea katika uteuzi.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Mourinho: Tutakuwa bora kwa miaka 10