Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema Katiba Inayopendekezwa imebeba mambo yote muhimu na hata kama yakifanyika maandamano nchi nzima haitabadilishwa hata nukta.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Serikali tatu au mbili zipo hata sasa ndani ya Katiba
Reading, Uingereza. Katiba, katiba katiba. Huu ndiyo wimbo ulioko katika midomo ya Watanzania walio wengi. Na ni kati ya kitu ambacho kimeonekana kuwaweka Watanzania pamoja kuliko kitu kingine nilichowahi kusikia.Â
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Hata mnyama anaona soni
Soni inaelelzwa ni ‘aibu, haya’, yaani tabia au hali ya mtu kuogopa maovu au aibu yake isijulikane na watu. Fedheha, hali ya kusitasita kusema au kufanya jambo kwa sababu ya kumheshimu mtu mwingine. Hali ya kutoweza kumwangalia au kuangalia mtu machoni.
Â
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Inasikitisha, inashindikana hata waamuzi
Fainali za Afrika zinakaribia kumalizika. Kwa sasa zinaingia hatua ya nusu fainali baada ya kumalizika kwa mechi za mkondo wa robo fainali ya pili jana.
9 years ago
Mwananchi11 Oct
HONDOHONDO :Tunapamba hata wasiopambika
Hebu niwakumbushe. Mwaka 1981 iliyokuwa Soviet ilipata shida kwenye Umoja wa Mataifa (UN) kuamua nani awe katibu mkuu wa chombo hicho, kati ya mwanadiplomasia wa Austria, Kurt Waldheim aliyekuwa anawania kipindi cha tatu na mwanadiplomasia wa Tanzania, Dk Salim Ahmed Salim.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDB5lrF*g9zPbYEJI9qLQMWYM41ql43-TdxNYIA7M6zfPJsXMNXahB4vbUXo7v8A0NdmySHXhQkODvqOnH41pxOl/CHEKANAKITIME.jpg)
HATA UWEJE, WABONGO WATAHOJI!
Hakuna aliyekuwa hamfahamu jamaa yangu pale mtaani kwetu. Jamaa alikuwa smat ile mbaya. Alikuwa anajua kuchagua nguo za kuvaa, na viatu vya kumechi, kisha nywele zake safi kila Jumamosi mchana lazima utamkuta saluni anatengeneza nywele, uso anaskrab, swafi sana. Hata siku hizi za mvua utadhani anajua kukwepa matone ya mvua, yaani we acha tu. Wanaume wenzie walikuwa wakiha-dithiana jinsi jamaa alivyo msafi, maana hata kwake...
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Hata 2015 tutakuwa wasindikizaji
Vyama vya michezo nchini mara kwa mara katika dakika za mwisho mwisho vimekuwa vikitafuta fedha kwa ajili ya kuwaweka kambini wanamichezo wao yanapokaribia mashindano ya kitaifa au kimataifa.
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Hata Kikwete alinunua watu
SIKUBALIANI na Rais Jakaya Kikwete kukemea wanasiasa wenzake ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ‘wanaonunua watu’ ili waweze kufanikisha malengo yao kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015. Vyombo vya habari...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania