Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Inasikitisha, inashindikana hata waamuzi

Fainali za Afrika zinakaribia kumalizika. Kwa sasa zinaingia hatua ya nusu fainali baada ya kumalizika kwa mechi za mkondo wa robo fainali ya pili jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema Katiba Inayopendekezwa imebeba mambo yote muhimu na hata kama yakifanyika maandamano nchi nzima haitabadilishwa hata nukta.

 

10 years ago

Vijimambo

KWELI INASIKITISHA NA KUTAKISHA TAMAA

Hii ndio hali ya mabomba ndani ya Kilimanjaro 5 ambayo imeanza kazi chini ya wiki mbili iliopita.

Kwa kweli inasikitisha saana kwa abiria wetu kuanza kufanya uharibifu namna hii kwa maksudi..

Hizi boti ni kwaajili yenu abiria na kuvitunza na kuvilinda ni majukumu yetu sote!

Tunaomba ushirikiano wenu katika hili na kutoa report kwa baharia au nahodha mtu anaopoona vitu kama hivi vikitokea-Zanzinews

 

10 years ago

Bongo Movies

INASIKITISHA: Mtunisi afikishwa mahakamani kwa kumpiga mkewe.

Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu kuahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena.

Hata hivyo, Mtunisi alishindwa kupewa dhamana baada ya hakimu kutoridhishwa na afya ya mwanamke huyo, Aziz ambaye anaugulia nyumbani.Katika hali nyingine, walinzi wa mahakama hiyo walionyesha mizengwe mikubwa kwa waandishi wa habari...

 

11 years ago

GPL

UNDANI VIFO VYA WATOTO 3 NDANI YA BWANA INASIKITISHA!

KUFUATIA vifo vya watoto watatu waliokufa kwa pamoja ndani ya bwawa la kuogelea ‘swimming pool’ kwenye Hoteli ya Landmark, Mbezi Beach jijini Dar, undani  wa vifo hivyo umejulikana, Amani lina kisa kamili. Mmoja kati ya marehemu aliyepatwa na janga hilo. CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu, watoto walionusurika kufa ambao  walikuwa wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya mwenzao ‘bethidei’...

 

11 years ago

Bongo Movies

INASIKITISHA...!!! Wezi wamliza florah mvungi. Hichi ndicho walichomfanyia. tazama hapa

 

Mwanadada Florah Mvungi amekumbwa na dhahama ya aina yake baada ya wezi ambao hawajapatikana mpaka sasa kuvunja kioo cha gari yake na kumuibia laptop yake na flash yake iliyokuwa na wimbo mpya wa mumewe H-Baba na kisha kuamua kuuvujisha wimbo huo kama alivyoelezea mwanadada huyo akionesha picha ya gari yake hiyo ilivyunjwa kioo hapo juu.

 

‘’…My car jamani ndo kwanza ina about a month since iingie mume wangu katoka nayo wamevunja wameiba laptop yake.flash yenye nyumbo zake yaani these...

 

10 years ago

Bongo Movies

INASIKITISHA SANA: Hiki kitendo alichofanyiwa WASTARA na baadhi mashabiki wake si uungwana

“…Nilitukanwa sana jana kwa kuwish wenzangu kheri ya xmass na kuonekana sina dini... Niseme kitu kimoja wasanii kwenye mitandao hatupo kwa ajili ya kutangaza dini tupo kwa ajili ya kutangaza kazi zetu na kuwa karibu na nyinyi mashabiki wetu.

 

Pili kazi yangu hainunuliwi na watu wa dini moja tu mi nafikiri uvivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau kuwa msanii ni nani ndio unawafanya maneno mengi yawatoke, mi msanii sio mwana zuoni msinivike taji lisilo kuwa langu, kama mahodari wa kufundisha...

 

10 years ago

Bongo Movies

INASIKITISHA SANA: Mwanadada LULU afiwa na mpenzi wake LEO siku ya birthday yake

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanadada Elizabeth Michael – LULU ambaye leo anatimiza miaka 20 ya kuzaliwa amepata piga jingine baada ya kufiwa na mpezi wake aliyefahamika kwa jina la Seki (Pichani) aliyekuwa akiishi jijini Mwanza.

Badi hatujapata taarifa kamili juu ya sababu ya  kifo chake ila tutaendelea kuwajulisha pindi zitakapotufikia.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.

Pole sana Lulu. Mungu akutie nguvu. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani