INASIKITISHA SANA: Hiki kitendo alichofanyiwa WASTARA na baadhi mashabiki wake si uungwana
“…Nilitukanwa sana jana kwa kuwish wenzangu kheri ya xmass na kuonekana sina dini... Niseme kitu kimoja wasanii kwenye mitandao hatupo kwa ajili ya kutangaza dini tupo kwa ajili ya kutangaza kazi zetu na kuwa karibu na nyinyi mashabiki wetu.
Pili kazi yangu hainunuliwi na watu wa dini moja tu mi nafikiri uvivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau kuwa msanii ni nani ndio unawafanya maneno mengi yawatoke, mi msanii sio mwana zuoni msinivike taji lisilo kuwa langu, kama mahodari wa kufundisha...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 Apr
INASIKITISHA SANA: Mwanadada LULU afiwa na mpenzi wake LEO siku ya birthday yake
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanadada Elizabeth Michael – LULU ambaye leo anatimiza miaka 20 ya kuzaliwa amepata piga jingine baada ya kufiwa na mpezi wake aliyefahamika kwa jina la Seki (Pichani) aliyekuwa akiishi jijini Mwanza.
Badi hatujapata taarifa kamili juu ya sababu ya kifo chake ila tutaendelea kuwajulisha pindi zitakapotufikia.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
Pole sana Lulu. Mungu akutie nguvu.
11 years ago
GPLWASTARA AKIPOZI NA MASHABIKI WAKE NDANI YA DAR LIVE
10 years ago
Vijimambo31 Jan
KITENDO HIKI CHA ZUA MJADALA HUKO TANZANIA JITIRIRISHE HAPA CHINI NA WEWE UNALA KUSEMA



Uongozi wa Simba na Maguri wote kwa pamoja wametoa kauli juu ya tukio hilo na...
11 years ago
Dewji Blog22 May
INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4
Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.
MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...
10 years ago
GPLTASWILA BAADHI YA MADUKA YA KARIAKOO KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI
9 years ago
Bongo503 Dec
Nahreel asema hakufurahishwa na kitendo cha kuondolewa kwa utambulisho wake kwenye wimbo wa ‘Nana’

Kuna baadhi ya watu huenda hawafahamu kuwa mdundo wa ‘Nana’ wa Diamond Platnumz ni zao la producer Nahreel wa The Industry, na hii ni kutokana kwamba haina ule utambulisho wa kazi zake ‘Nahreel on the beat’ ambao husikika kwenye kazi zote alizotayarisha.
Nahreel amesema kuwa kiashirio cha producer kwenye wimbo huo kiliondolewa kwa sababu ambazo hakuona kama zina uzito.
“Sababu walizosema walisema tu stori ilivyoanza pale mbele ile slogan yangu ingeleta hitilafu lakini it doesn’t make sense,...
10 years ago
Bongo Movies05 Apr
Mashabiki wa Wastara,Tupitie Hapa
Kwa mara nyingine tena ni wakatati wako wewe shabiki wakweli kumpigia kura Staa mrembo anaesifika kwa kufanya kweli kwenye filamu zake, Wastara Juma ili aweze kuitwaa tuzo ya muigizaj wakike anaependwa kwenye tuzo za watu 2015
Nirahisi, Tuma neno TZW8 WASTARA JUMA kwenda namba 15678 kama inavyoonekana hapo juu.Piga kura mara nyingi uwezavyo. Haya tuanze sasa.