UNDANI VIFO VYA WATOTO 3 NDANI YA BWANA INASIKITISHA!
KUFUATIA vifo vya watoto watatu waliokufa kwa pamoja ndani ya bwawa la kuogelea ‘swimming pool’ kwenye Hoteli ya Landmark, Mbezi Beach jijini Dar, undani wa vifo hivyo umejulikana, Amani lina kisa kamili. Mmoja kati ya marehemu aliyepatwa na janga hilo. CHANZO Kwa mujibu wa chanzo chetu, watoto walionusurika kufa ambao walikuwa wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya mwenzao ‘bethidei’...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Idadi ya vifo vya watoto imepungua
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Vifo vya watoto vingali vingi
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Tanzania yapunguza vifo vya watoto
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Je vifo vya watoto vimepungua Afrika?
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Vifo vya watoto vingali juu
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Ushirikina wasababisha vifo vya watoto
IMANI za kishirikina zimeelezwa kusababisha vifo vya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwa kutofikishwa hospitali kupata matibabu. Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa chama kinachoshughulikia...
11 years ago
Habarileo07 Jun
Vifo vya watoto sasa vyapungua kwa 7.2%
WIZARA ya Afya imesema akinamama wengi wamehamasika na kujifungua katika hospitali za Serikali na kufanikiwa kupunguza vifo vya watoto kwa asilimia 7.2.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Dk. Mwaka ataja sababu za vifo vya watoto
MAELEWANO mabaya kati ya wagonjwa na wauguzi ni miongoni mwa sababu zinazochangia vifo vya watoto wakati wa kujifungua. Hayo yalibainishwa na Daktari wa ForePlan Clinic, Juma Mwaka, alipozungumza na wahariri...