Je vifo vya watoto vimepungua Afrika?
Malengo ya milinenia kupunguza vifo vya watoto wachanga wanaoaga dunia kabla ya kufikisha miaka mitano.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NvrXwR0-KmU/XrFYvmTrqGI/AAAAAAALpNc/8riy89xu58A0JXfWxWPbOKS8bVdBmXAcwCLcBGAsYHQ/s72-c/1567a6b1-59ad-4277-a474-44117aa34c8e.jpg)
VIFO VYA WATOTO WACHANGA VIMEPUNGUA KUTOKA 25 KWA KILA VIZAZI HAI 1000 HADI SABA KWA KILA VIZAZI HAI 1000
Na WAMJW – Dar es Salaam
05/05/2020 Vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya siku 28 vimepungua kutoka 25 kwa kila vizazi hai 1000 kwa mwaka 2015/16 na kufikia saba kwa kila vizazi hai 1000 kwa mwezi Machi mwaka huu.
Hayo yamesemwa leo jijini jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa vifaa kinga, mabango,vipeperushi na vifaa vya kutoa elimu kwa Umma kuhusu ugonjwa wa Corona kutoka kwa Benki ya Absa...
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Vifo kutokana na Malaria vimepungua
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Tanzania yapunguza vifo vya watoto
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Idadi ya vifo vya watoto imepungua
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Vifo vya watoto vingali vingi
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Ushirikina wasababisha vifo vya watoto
IMANI za kishirikina zimeelezwa kusababisha vifo vya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwa kutofikishwa hospitali kupata matibabu. Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa chama kinachoshughulikia...
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Vifo vya watoto vingali juu
11 years ago
Habarileo07 Jun
Vifo vya watoto sasa vyapungua kwa 7.2%
WIZARA ya Afya imesema akinamama wengi wamehamasika na kujifungua katika hospitali za Serikali na kufanikiwa kupunguza vifo vya watoto kwa asilimia 7.2.