HONDOHONDO :Tunapamba hata wasiopambika
Hebu niwakumbushe. Mwaka 1981 iliyokuwa Soviet ilipata shida kwenye Umoja wa Mataifa (UN) kuamua nani awe katibu mkuu wa chombo hicho, kati ya mwanadiplomasia wa Austria, Kurt Waldheim aliyekuwa anawania kipindi cha tatu na mwanadiplomasia wa Tanzania, Dk Salim Ahmed Salim.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Oct
HONDOHONDO : Hata Marekani ilikuwapo ‘CCM’, ikafa
je, wajua kuwa kuna vyama vya siasa Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na kwingineko duniani viliwahi kushamiri na kutoa ama marais au waziri mkuu au chansela, lakini baadaye vilikataliwa na wananchi na vikafa?
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema Katiba Inayopendekezwa imebeba mambo yote muhimu na hata kama yakifanyika maandamano nchi nzima haitabadilishwa hata nukta.
9 years ago
Mwananchi06 Sep
HONDOHONDO : Kampeni za kufarakanisha, kuchafuana
Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu duniani kote ni cha propaganda. sera huwa hazipewi nafasi kubwa majukwaani isipokuwa kashfa, uzushi, matusi, uongo na kuchafuana huku wanawake wakitumika kama kete ya ushindi na kashfa.
9 years ago
Mwananchi29 Nov
HONDOHONDO : Magufuli anajijenga yeye, ataumbua wengi
Sitaki umbea wala kuumbua watu. Miaka yote zikifanyika sherehe za Uhuru na nyinginezo, wasomi, wanasiasa na wananchi wa kawaida wamekuwa wakisifu maandalizi yake na kwamba zimefana. Hawakosoi.
9 years ago
Mwananchi13 Sep
HONDOHONDO : Tuwekewe bayana ufisadi katika Richmond
Mwalimu mmoja mstaafu kijijini kwetu akipata fursa ya kuzungumza kwenye mkutano wowote, hupenda kujionyesha kuwa anajua mambo. Basi utasikia akisema “once a teacher always a teacherâ€, yaani ukishakuwa mwalimu mara moja basi ni mwalimu daima.
10 years ago
Mwananchi03 May
HONDOHONDO: Kama ni mpira, CCM ni wachezaji wanaokasirisha mashabiki nchini
>Kuna wachezaji wengi wa mpira wa miguu wanaoudhi, lakini wanashangiliwa kwa sababu ya majina yao. Baada ya kupiga chenga mabeki wote, pengine hata makipa, hupiga mashuti nje ya goli na kuwaacha watazamaji wakishangaa “aaaaaaaaahâ€.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
HONDOHONDO : CCM yasubiriwa Dodoma kukata jongoo kwa meno
Wiki ijayo ni ya CCM “kukata jongoo kwa meno†ili kuzima makundi ya watu yanayofuatafuata wanasiasa fulani wanaojiita waheshimiwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania