Hata mnyama anaona soni
Soni inaelelzwa ni ‘aibu, haya’, yaani tabia au hali ya mtu kuogopa maovu au aibu yake isijulikane na watu. Fedheha, hali ya kusitasita kusema au kufanya jambo kwa sababu ya kumheshimu mtu mwingine. Hali ya kutoweza kumwangalia au kuangalia mtu machoni. Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Oct
Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema Katiba Inayopendekezwa imebeba mambo yote muhimu na hata kama yakifanyika maandamano nchi nzima haitabadilishwa hata nukta.
10 years ago
Michuzi.jpg)
news alert: Ajali ingine yatokea Soni leo, lori la mafuta lagongana na basi la abiria uso kwa uso
.jpg)
11 years ago
GPL
Mnyama achinja
Mchezaji wa Simba SC, Ali Badru (kushoto) akimtoka mchezaji wa Rhino Rangers, Laban Kambole siku ya jana Taifa. Na Sweetbert Lukonge
MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Bara ziliendelea jana kwenye Uwanja wa Taifa ambapo Simba ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Rhino Rangers. Simba ambayo ilionyesha soka zuri na kutawala…
11 years ago
GPLMNYAMA AUAWA TAIFA
Mshambuliaji wa Simba Sc, Ramadhani Singano 'Messi' akikwaana na beki wa Coastal Union wakati wa mechi ya leo. Mashabiki wa Simba SC wakiwa wamepoa.…
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Mnyama hatari sana
SWALI la Nani Mtani Jembe baina ya vigogo wa soka Simba na Yanga lililodumu kwa siku 75, jana lilipata jibu baada ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Mbeya City yatafuna mnyama
Mabingwa wa zamani wa Tanzania Bara, Simba jana walishindwa kutamba nyumbani baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 mbele ya Mbeya City jana, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.
11 years ago
Mwananchi01 Feb
‘Mnyama unyamani’ Taifa leo
Simba inajitupa uwanjani leo kuikabili JKT Oljoro katika pambano la Ligi Kuu litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
11 years ago
GPLMNYAMA HOI KWA MGAMBO!
Wachezaji wa Mgambo Shooting wakifurahia ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya Simba. Patashika wakati wa mtanange huo kati ya Simba na Mgambo…
10 years ago
GPLMNYAMA AISAMBARATISHA RUVU SHOOTING TAIFA
Wachezaji wa Simba SC wakishangilia lao la kwanza lililofungwa na Ibrahim Ajibu kwa mkwaju wa penalti. Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (25) akiipangua ngome ya Ruvu Shooting. Kocha Mkuu wa Simba SC, Goran Kopunovic akishangilia ushindi na wachezaji wake. WEKUNDU wa Msimbazi 'Mnyama' au Simba SC leo…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania