Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNYAMA AISAMBARATISHA RUVU SHOOTING TAIFA

Wachezaji wa Simba SC wakishangilia lao la kwanza lililofungwa na Ibrahim Ajibu kwa mkwaju wa penalti. Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (25) akiipangua ngome ya Ruvu Shooting. Kocha Mkuu wa Simba SC, Goran Kopunovic akishangilia ushindi na wachezaji wake. WEKUNDU wa Msimbazi 'Mnyama' au Simba SC leo…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA RUVU SHOOTING 5-0 UWANJA WA TAIFA, DAR

Wachezaji wa Yanga, Kpah Sherman na Simon Msuva wakishangilia ushindi wa leo wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting. Sintofahamu wakati wa mchezo wa Yanga na Ruvu Shooting leo. Mrisho Ngassa akijaribu kumtoka mchezaji wa Ruvu Shooting. KIKOSI cha Yanga SC leo kimetoa kichapo cha mabao 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye…

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAONA MWEZI TAIFA LEO, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0

 Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande wa Blogu ya Jamii)
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting. Elius Maguli akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

YANGA YAINYOA RUVU SHOOTING BAO 7-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 Mchezaji wa Yanga, Juma abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Said Madega.

 Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akimpiga chenga kipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhan na kuipatia timu yake bao la 3 kwa timu yake.  Dogo huniwezi.................  Sasa naenda kufunga...... Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhani akiwa ameshika kiuno baada ya Okwi kupachia bao. Washambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia), na Hamis Kiiza wakishangilia moja ya magoli waliyoifungia timu...

 

11 years ago

GPL

YANGA VS RUVU SHOOTING LINE UP

YANGA LINE-UP
1. Deogratias Munish -30
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Koshua - 4
4. Nadir Haroub - 23
5. Kelvin Yondani - 5
6. Frank Domayo - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Mrisho Ngasa - 17
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Emmanuel Okwi - 25
11. Hamis Kizza - 20

Subs:
1. Juma Kaseja - 1
2. Juma Abdul - 12
3. David Luhende - 3
4. Rajab Zahir - 14
5. Athuman Idd - 24
6. Hassan Dilunga - 26
7. Said Bahanuzi - 11
RUVU...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Ruvu Shooting watambiana

>Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema msaidizi wake Charles Mkwasa amemkabidhi  taarifa zote muhimu zinazohusu uimara na udhaifu wa Ruvu Shooting na kudai kuwa atazitumia kuvuna ushindi katika pambano baina yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

7-0 zawakalisha chini Ruvu Shooting

BAADA ya kupigwa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-0 na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, uongozi wa Ruvu Shooting unatarajiwa kuketi kutafakari na kusaka...

 

11 years ago

GPL

SIMBA YAWAKALISHA MAAFANDE WA RUVU SHOOTING

Wachezaji wa Simba SC, wakishangilia bao kwenye mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar jana. Simba walishinda 3-2.
Mashabiki wa Simba, wakishangilia ushindi wao wa bao 3-2.
SIMBA SC jana iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 3-2 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Azam kuvaana na Ruvu Shooting leo

1NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MABINGWA wa Kombe la Kagame, Azam FC, leo wanatarajia kufunga ratiba zao za mechi za kirafiki kwa kujipima tena na wanajeshi timu ya Ruvu Shooting, mchezo utakaochezwa Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.

Hivi karibuni Azam ilipokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu na kuvurugiwa rekodi ya kutokufungwa bao hata moja ndani ya dakika 90 katika michuani ya Kagame.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Jaffari Idd, alisema mchezo huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani