SIMBA YAWAKALISHA MAAFANDE WA RUVU SHOOTING
Wachezaji wa Simba SC, wakishangilia bao kwenye mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar jana. Simba walishinda 3-2. Mashabiki wa Simba, wakishangilia ushindi wao wa bao 3-2. SIMBA SC jana iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 3-2 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Simba yazindukia kwa Ruvu Shooting
TIMU ya Simba, jana ilivuna pointi tatu muhimu katika mbio za Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuwafunga Ruvu Shooting ya Pwani mabao 3-2 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa,...
10 years ago
MichuziSIMBA YAONA MWEZI TAIFA LEO, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziSIMBA YAONA MWEZI, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0 KWA SHIIIDAA...
11 years ago
Michuzi24 Feb
YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
11 years ago
GPLYANGA VS RUVU SHOOTING LINE UP
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Yanga, Ruvu Shooting watambiana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
7-0 zawakalisha chini Ruvu Shooting
BAADA ya kupigwa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-0 na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, uongozi wa Ruvu Shooting unatarajiwa kuketi kutafakari na kusaka...