Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YAONA MWEZI, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0 KWA SHIIIDAA...

 Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa.  Kocha wa Simba, Patrick Phiri akikumbatiana na Okwi baada ya mchezo na tmu yake kupata ushindi wa kwanza tangu kuanza kwa Ligi.Mashabiki wa Simba wakifurahia utadhani wamenyakua ubingwa.Picha na Francis Dande wa Globu  ya Jamii.Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAONA MWEZI TAIFA LEO, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0

 Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande wa Blogu ya Jamii)
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting. Elius Maguli akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba yazindukia kwa Ruvu Shooting

TIMU ya Simba, jana ilivuna pointi tatu muhimu katika mbio za Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuwafunga Ruvu Shooting ya Pwani mabao 3-2 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa,...

 

11 years ago

GPL

SIMBA YAWAKALISHA MAAFANDE WA RUVU SHOOTING

Wachezaji wa Simba SC, wakishangilia bao kwenye mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar jana. Simba walishinda 3-2.
Mashabiki wa Simba, wakishangilia ushindi wao wa bao 3-2.
SIMBA SC jana iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 3-2 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU


Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yanoa makali kwa Ruvu Shooting

>Yanga ina fursa ya kuishusha kileleni Azam FC kwa muda kama watashinda leo dhidi ya Ruvu Shooting katika mechi ya   Ligi Kuu itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ruvu shooting yajinoa kwa Ligi Kuu 2014/15

TIMU ya Ruvu Shooting ya Pwani, inatarajia kuingia kambini leo kuhakikisha inafanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2014/2015. Shooting iliyomaliza msimu uliopita ikiwa nafasi ya sita,...

 

10 years ago

Vijimambo

RUVU SHOOTING YAPOKEA KICHAPO CA BAO 5- 0 KUTOKA KWA YANGA

 Timu zikiingia uwanjani.  Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande).
 Haruna Niyonzima (kushoto), Simon Msuva (kulia) na Kpah Sherman wakishangilia baada ya Simon Msuva kuipatia timu hiyo bao la pili.

 Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani