Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YAONA MWEZI TAIFA LEO, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0

 Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande wa Blogu ya Jamii)
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting. Elius Maguli akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAONA MWEZI, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0 KWA SHIIIDAA...

 Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa.  Kocha wa Simba, Patrick Phiri akikumbatiana na Okwi baada ya mchezo na tmu yake kupata ushindi wa kwanza tangu kuanza kwa Ligi.Mashabiki wa Simba wakifurahia utadhani wamenyakua ubingwa.Picha na Francis Dande wa Globu  ya Jamii.Picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

YANGA YAINYOA RUVU SHOOTING BAO 7-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 Mchezaji wa Yanga, Juma abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Said Madega.

 Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akimpiga chenga kipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhan na kuipatia timu yake bao la 3 kwa timu yake.  Dogo huniwezi.................  Sasa naenda kufunga...... Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhani akiwa ameshika kiuno baada ya Okwi kupachia bao. Washambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia), na Hamis Kiiza wakishangilia moja ya magoli waliyoifungia timu...

 

10 years ago

GPL

MNYAMA AISAMBARATISHA RUVU SHOOTING TAIFA

Wachezaji wa Simba SC wakishangilia lao la kwanza lililofungwa na Ibrahim Ajibu kwa mkwaju wa penalti. Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (25) akiipangua ngome ya Ruvu Shooting. Kocha Mkuu wa Simba SC, Goran Kopunovic akishangilia ushindi na wachezaji wake. WEKUNDU wa Msimbazi 'Mnyama' au Simba SC leo…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba yazindukia kwa Ruvu Shooting

TIMU ya Simba, jana ilivuna pointi tatu muhimu katika mbio za Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuwafunga Ruvu Shooting ya Pwani mabao 3-2 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa,...

 

11 years ago

GPL

SIMBA YAWAKALISHA MAAFANDE WA RUVU SHOOTING

Wachezaji wa Simba SC, wakishangilia bao kwenye mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar jana. Simba walishinda 3-2.
Mashabiki wa Simba, wakishangilia ushindi wao wa bao 3-2.
SIMBA SC jana iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 3-2 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA RUVU SHOOTING 5-0 UWANJA WA TAIFA, DAR

Wachezaji wa Yanga, Kpah Sherman na Simon Msuva wakishangilia ushindi wa leo wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting. Sintofahamu wakati wa mchezo wa Yanga na Ruvu Shooting leo. Mrisho Ngassa akijaribu kumtoka mchezaji wa Ruvu Shooting. KIKOSI cha Yanga SC leo kimetoa kichapo cha mabao 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye…

 

10 years ago

Vijimambo

Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar.…


Mshambuliaji wa Simba, Danny Sserunkuma.
Mshambuliaji wa Simba, Emanuel Okwi akishangilia katika moja ya mechi ya Ligi Kuu Bara.
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU


Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani