7-0 zawakalisha chini Ruvu Shooting
BAADA ya kupigwa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-0 na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, uongozi wa Ruvu Shooting unatarajiwa kuketi kutafakari na kusaka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Mar
Upanuzi mitambo Ruvu Juu, Ruvu Chini waenda kasi
UHABA wa maji kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mingine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini unatajwa utakuwa historia kutokana na Serikali kuanza upanuzi wa mitambo hiyo.
10 years ago
MichuziBodi ya DAWASA yatembele Mirani ya Maji Ruvu chini na Ruvu juu leo
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Yanga, Ruvu Shooting watambiana
11 years ago
GPLYANGA VS RUVU SHOOTING LINE UP
10 years ago
Mwananchi12 May
Kashfa ya Ruvu Shooting yazua jambo
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Simba yazindukia kwa Ruvu Shooting
TIMU ya Simba, jana ilivuna pointi tatu muhimu katika mbio za Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuwafunga Ruvu Shooting ya Pwani mabao 3-2 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa,...
11 years ago
GPLSIMBA YAWAKALISHA MAAFANDE WA RUVU SHOOTING
10 years ago
GPLMNYAMA AISAMBARATISHA RUVU SHOOTING TAIFA
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Azam kuvaana na Ruvu Shooting leo
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MABINGWA wa Kombe la Kagame, Azam FC, leo wanatarajia kufunga ratiba zao za mechi za kirafiki kwa kujipima tena na wanajeshi timu ya Ruvu Shooting, mchezo utakaochezwa Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.
Hivi karibuni Azam ilipokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu na kuvurugiwa rekodi ya kutokufungwa bao hata moja ndani ya dakika 90 katika michuani ya Kagame.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Jaffari Idd, alisema mchezo huo...