Kashfa ya Ruvu Shooting yazua jambo
Kamanda wa Polisi (RPC) mkoa wa Shinyanga, Yustus Kamugisha amepinga madai ya Ruvu Shooting ya kuripoti kwao tukio la kupuliziwa dawa katika vyumba vya kubadilishia nguo siku ya mchezo wao dhidi ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLYANGA VS RUVU SHOOTING LINE UP
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
7-0 zawakalisha chini Ruvu Shooting
BAADA ya kupigwa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-0 na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, uongozi wa Ruvu Shooting unatarajiwa kuketi kutafakari na kusaka...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Yanga, Ruvu Shooting watambiana
11 years ago
GPLSIMBA YAWAKALISHA MAAFANDE WA RUVU SHOOTING
10 years ago
Mtanzania04 Sep
Azam kuvaana na Ruvu Shooting leo
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MABINGWA wa Kombe la Kagame, Azam FC, leo wanatarajia kufunga ratiba zao za mechi za kirafiki kwa kujipima tena na wanajeshi timu ya Ruvu Shooting, mchezo utakaochezwa Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.
Hivi karibuni Azam ilipokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu na kuvurugiwa rekodi ya kutokufungwa bao hata moja ndani ya dakika 90 katika michuani ya Kagame.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Jaffari Idd, alisema mchezo huo...
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Simba yazindukia kwa Ruvu Shooting
TIMU ya Simba, jana ilivuna pointi tatu muhimu katika mbio za Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuwafunga Ruvu Shooting ya Pwani mabao 3-2 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa,...
10 years ago
GPLMNYAMA AISAMBARATISHA RUVU SHOOTING TAIFA
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Yanga yanoa makali kwa Ruvu Shooting
10 years ago
Michuzi
MECHI YA JKT RUVU, SHOOTING KUCHEZWA USIKU

Timu hizo zitapambana kuanzia saa 1 kamili usiku katika mechi hiyo itakayoonyeshwa moja kwa moja (live) na Azam Tv.
Viingilio katika mechi hiyo ni sh. 3,000 kwa jukwaa la kawaida na sh. 5,000 kwa upande wa jukwaa la VIP.
Tiketi za kushuhudia mechi hiyo ambazo ni za elektoniki tayari...