Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Monica Mbega: Ikulu ni zamu yangu wengine wasindikizaji

1

Aliyekuwa  mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini Monica Mbega  akionyesha fomu yenye orodha ya wana CCM  33 wa mkoa  wa Iringa waliomdhamini katika  safari  yake ya  kuomba kuteuliwa  kuwa mgombea Urais wa Jamahuri ya  Muungano wa Tanzania  kupitia CCM jana mjini Iringa (picha na Francis Godwin). 3 Monica  Mbega (kulia) akifurahi pamoja na wana CCM Iringa mjini ambao  walijitokeza kumdhamini  kuwa mgombea wa nafasi ya urais kupitia CCM (picha na Francis Godwin). 01 Naibu  meya wa Manispaa ya ...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

IKULU NI ZAMU YANGU WENGINE WASINDIKIZAJI - MONICA MBEGA

Na  Matukiodaima Blog
WAKATI mbio za makada  wa chama  cha mapinduzi (CCM)  waliotia nia ya  kuomba  kuteuliwa  kuwa wagombea wa nafasi za urais zikiendelea  kushika kasi kwa  kila mgombea kutumia mbinu yake ya  kuwafikia wana CCM kuomba udhamini , aliyekuwa mbunge wa  jimbo la Iringa mjini Monica Mbega leo  ameingia wilaya ya Iringa mjini mkoani hapa  kuomba udhamini na kupata  wajumbe 33  huku akiwataka  watanzania kutoaminishwa na mbwembwe  za  watia nia wenzake wanazofanya...

 

10 years ago

Mtanzania

Monica Mbega ajihakikishia kwenda Ikulu

Na Francis Godwin, Iringa

WAKATI mbio za makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaowania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kupitia chama hicho zikiendelea kushika kasi, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Monica Mbega, jana ameingia mkoani hapa na kupata wadhamini 33.

Mwanamama huyo aliwataka Watanzania kutoaminishwa na mbwembwe za wagombea wenzake wanazofanya mikoani na kusema kuwa yeye ndiye rais wa awamu ya tano, huku akiwaomba Watanzania wamuunge mkono.

Mbega, ambaye alilazimika...

 

10 years ago

Mwananchi

Monica Mbega ajitosa urais

Dodoma. Makada wa CCM, wameendelea kupigana vikumbo katika ofisi za makao makuu ya chama hicho mjini hapa kwa ajili ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea urais. Jana ilikuwa zamu ya Balozi Augustine Mahiga na Monica Mbega aliyejitosa kimya kimya.

 

9 years ago

Michuzi

MONICA MBEGA- DR MAGUFULI NA MWAKALEBELA NAWAUNGA MKONO KWA ASILIMIA 100

Aliyekuwa  mgombea wa nafasi ya Urais Monica Mbega jukwaani  akimwombea  kura  mgombea  urais wa  CCM na mgombea  ubunge jimbo la Iringa mjini Frederick Mwakalebela (aliyekaa katikati kulia) leo  baada ya  mwakalebela  kuchukua  fomu ya ubunge.Monica  Mbega  akimpongeza  MwakalebelaMonica  Mbega  akijiandaa kumsalimia Kiponza.Mwenyekiti wa CCM Iringa mjini Bw  Abeid Kiponza  (kulia) akimtambulisha mgombea  ubunge jimbo la Iringa mjini Frederick Mwakalebela  leo.
Mgombea udiwani wa kata ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Prof Mwandosya; Mwaka 2005 nilikuwa wa tatu mwaka huu ikulu zamu yangu, ataka wagombea wenzake wasiogope kuelezwa maovu

Waziri asiye na Wizara maalum Prof Mark Mwandosya akiwapungua mkono baadhi ya wahudumu wa uwanja wa Ndege wa Nduli Iringa wakati akiondoka mkoani Iringa kuelekea mkoani Tabora kutafuta  wadhamini kwa ndege hiyo ya kukodi. Waziri Prof Mwandosya  akitafakari jambo. Dereva  wa gari la Prof Mwandosya  Iringa akipata picha ya kumbukumbu na kuagana na rubani wa ndege aliyokodi Waziri huyo. Wadhamini wa Prof Mwandosya  wakiagana na waziri huyo. Waziri Prof. Mwandosya  na mkewe akishuka...

 

9 years ago

Michuzi

CHIKU ABWAO: HERI YA MONICA MBEGA WA CCM KULIKO MCHUNGAJI MSIGWA WA CHADEMA NAOMBA NICHAGUENI MIMI SAFARI HII

MGOMBEA  Ubunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia ACT Wazalendo Bi Chiku Abwao(pichani) amesema heri ya miaka mitano ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Mobica Mbega ( CCM) kuliko miaka mitano ya Mchungaji Peter Msigwa ( Chadema)hivyo ametawa mwaka huu wananchi kumchagua yeye
Akizungumza katika mkutano wake wa kampeni za Ubunge jana  kata ya Kihesa alisema iwapo atakuwa mbunge wao atahakikisha anakuwa mbunge wa mfano wa kuwaletea maendeleo sahihi.
Kwani alisema kuwa historia ya jimbo hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Messi: Sasa zamu yangu

Ndoto ya mshambuliaji Lionel Messi ni kuipa ubingwa wa dunia Argentina katika fainali zijazo za Kombe la Dunia nchini Brazil.

 

9 years ago

Dewji Blog

Jimbo la Iringa mjini lilikosa mbunge makini sasa ni zamu yangu ubunge -Mwakalebela

Mgombea ubunge jimbo la  Iringa mjini Frederick Mwakalebela  akiomba kura kwa  wananchi wa kata ya Mshindo jana wakati wa mkutano wake wa kampeni. Wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni jana. Aliyekuwa mgombea ubunge katika mchakato wa ndani ya chama Michael Mlowe  akimnadi Mwakalebela. Katibu  wa CCM Iringa mjini Bw Elisha Mwampashi  akimnadi  Mwakalebela.

Mwakalebela akiomba kura kwa wananchi wa kata ya Mshindo jana.

Wana CCM na wananchi wa kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani