Monica Mbega ajihakikishia kwenda Ikulu
Na Francis Godwin, Iringa
WAKATI mbio za makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaowania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kupitia chama hicho zikiendelea kushika kasi, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Monica Mbega, jana ameingia mkoani hapa na kupata wadhamini 33.
Mwanamama huyo aliwataka Watanzania kutoaminishwa na mbwembwe za wagombea wenzake wanazofanya mikoani na kusema kuwa yeye ndiye rais wa awamu ya tano, huku akiwaomba Watanzania wamuunge mkono.
Mbega, ambaye alilazimika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziIKULU NI ZAMU YANGU WENGINE WASINDIKIZAJI - MONICA MBEGA
WAKATI mbio za makada wa chama cha mapinduzi (CCM) waliotia nia ya kuomba kuteuliwa kuwa wagombea wa nafasi za urais zikiendelea kushika kasi kwa kila mgombea kutumia mbinu yake ya kuwafikia wana CCM kuomba udhamini , aliyekuwa mbunge wa jimbo la Iringa mjini Monica Mbega leo ameingia wilaya ya Iringa mjini mkoani hapa kuomba udhamini na kupata wajumbe 33 huku akiwataka watanzania kutoaminishwa na mbwembwe za watia nia wenzake wanazofanya...
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Monica Mbega: Ikulu ni zamu yangu wengine wasindikizaji
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Monica Mbega ajitosa urais
9 years ago
MichuziMONICA MBEGA- DR MAGUFULI NA MWAKALEBELA NAWAUNGA MKONO KWA ASILIMIA 100
Mgombea udiwani wa kata ya...
9 years ago
MichuziCHIKU ABWAO: HERI YA MONICA MBEGA WA CCM KULIKO MCHUNGAJI MSIGWA WA CHADEMA NAOMBA NICHAGUENI MIMI SAFARI HII
Akizungumza katika mkutano wake wa kampeni za Ubunge jana kata ya Kihesa alisema iwapo atakuwa mbunge wao atahakikisha anakuwa mbunge wa mfano wa kuwaletea maendeleo sahihi.
Kwani alisema kuwa historia ya jimbo hilo...
10 years ago
Vijimambo14 Apr
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Kwenda Ikulu ni kazi
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Waliotembea km 1, 200 kwenda Ikulu wakamatwa
Na Elias Msuya
ILE safari ya zaidi ya kilometa 1,200 ya makada watatu wa Chadema kutoka mkoani Geita waliotaka kwenda Ikulu ya Dar es Salaam kumwona Rais Jakaya Kikwete, imeishia mikononi mwa polisi baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, kuwazuia kuendelea na safari yao hadi watakapopata maelekezo.
Vijana hao, Khalid Selemani, Athanas Michael na Juma Maganga, walisema wameamua kutembea kwa miguu kwa siku 37 ili kumfikishia Rais Kikwete ujumbe wao kuhusu kupinga ufisadi,...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015