Kwenda Ikulu ni kazi
Kama ukubwa ni huu, wa kupelekeshwa mbiyo, Na kuwekwa roho juu, kila saa jakamoyo, Nawaacheni tuu, siukalifishi moyo, Ikulu nendeni nyinyi, mpendao uraisi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015
10 years ago
Mtanzania13 Jun
Monica Mbega ajihakikishia kwenda Ikulu
Na Francis Godwin, Iringa
WAKATI mbio za makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaowania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kupitia chama hicho zikiendelea kushika kasi, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Monica Mbega, jana ameingia mkoani hapa na kupata wadhamini 33.
Mwanamama huyo aliwataka Watanzania kutoaminishwa na mbwembwe za wagombea wenzake wanazofanya mikoani na kusema kuwa yeye ndiye rais wa awamu ya tano, huku akiwaomba Watanzania wamuunge mkono.
Mbega, ambaye alilazimika...
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Waliotembea km 1, 200 kwenda Ikulu wakamatwa
Na Elias Msuya
ILE safari ya zaidi ya kilometa 1,200 ya makada watatu wa Chadema kutoka mkoani Geita waliotaka kwenda Ikulu ya Dar es Salaam kumwona Rais Jakaya Kikwete, imeishia mikononi mwa polisi baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, kuwazuia kuendelea na safari yao hadi watakapopata maelekezo.
Vijana hao, Khalid Selemani, Athanas Michael na Juma Maganga, walisema wameamua kutembea kwa miguu kwa siku 37 ili kumfikishia Rais Kikwete ujumbe wao kuhusu kupinga ufisadi,...
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Askofu: Kauli za kulazimisha kwenda Ikulu hatari
10 years ago
VijimamboWALIOTAKA KWENDA IKULU WAISHIA RUMANDE DAR
10 years ago
Mwananchi21 Jan
mtoto wa ‘housegirl’ aliyekabili vigingi vingi kwenda Ikulu- 2
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Hashim Rungwe: Sigombei kwenda Ikulu kupiga ‘dili’
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Fidel Castro; mtoto wa ‘housegirl’ aliyekabili vigingi vingi kwenda Ikulu- 2
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Albino kuandamana kwenda Ikulu kupinga vitendo vya mauaji dhidi yao
Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner.
Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner...