Askofu: Kauli za kulazimisha kwenda Ikulu hatari
Askofu wa Kanisa la Pentecostal Assemblies of God Tanzania (PAG), Mbeya Christian Centre (MCC), Damianus Kongoro amesema kauli za wanasiasa kulazimisha kwenda Ikulu zinazotolewa kipindi hiki zinatishia usalama na amani ya nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s72-c/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'
![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s640/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Askofu Mtetemela alaani kauli ya Lipumba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela, amelaani kauli iliyotolewa na mjumbe mwenzake, Profesa Ibrahim Lipumba ya kulifananisha bunge hilo na...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Askofu Mtetemelwa akemea kauli ya Profesa Lipumba
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Askofu anusurika kwenda jela
ASKOFU wa Kanisa la Habari Njema mjini hapa, Tryphone John, amenusurika kwenda jela baada ya kulipa faini ya sh 30,000 baada ya kupatikana na hatia ya gari lake kumgonga mwendesha...
11 years ago
Michuzi20 Apr
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Kwenda Ikulu ni kazi
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Waliotembea km 1, 200 kwenda Ikulu wakamatwa
Na Elias Msuya
ILE safari ya zaidi ya kilometa 1,200 ya makada watatu wa Chadema kutoka mkoani Geita waliotaka kwenda Ikulu ya Dar es Salaam kumwona Rais Jakaya Kikwete, imeishia mikononi mwa polisi baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, kuwazuia kuendelea na safari yao hadi watakapopata maelekezo.
Vijana hao, Khalid Selemani, Athanas Michael na Juma Maganga, walisema wameamua kutembea kwa miguu kwa siku 37 ili kumfikishia Rais Kikwete ujumbe wao kuhusu kupinga ufisadi,...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015
10 years ago
Mtanzania13 Jun
Monica Mbega ajihakikishia kwenda Ikulu
Na Francis Godwin, Iringa
WAKATI mbio za makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaowania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kupitia chama hicho zikiendelea kushika kasi, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Monica Mbega, jana ameingia mkoani hapa na kupata wadhamini 33.
Mwanamama huyo aliwataka Watanzania kutoaminishwa na mbwembwe za wagombea wenzake wanazofanya mikoani na kusema kuwa yeye ndiye rais wa awamu ya tano, huku akiwaomba Watanzania wamuunge mkono.
Mbega, ambaye alilazimika...