Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu anusurika kwenda jela

ASKOFU wa Kanisa la Habari Njema mjini hapa, Tryphone John, amenusurika kwenda jela baada ya  kulipa faini ya sh 30,000 baada ya kupatikana na hatia ya gari lake kumgonga mwendesha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamke wa Indonesia anusurika kifungo jela kwa kuingiza mbwa msikitini

Kanda ya video ya mwanamke huyo mwenye akili punguani akiingia msikitini nchini Indonesia ilisambaa sana mwaka uliopita

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu: Kauli za kulazimisha kwenda Ikulu hatari

Askofu wa Kanisa  la Pentecostal Assemblies of God Tanzania (PAG), Mbeya Christian Centre (MCC), Damianus Kongoro  amesema kauli za wanasiasa kulazimisha kwenda Ikulu zinazotolewa kipindi hiki  zinatishia usalama na amani ya nchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Khan wa Bollywood kwenda jela miaka 5

Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtu mmoja asiye na makazi.

 

11 years ago

CloudsFM

ASKOFU ATUPWA JELA MIAKA 32 KWA UJAMBAZI BENKI

Askofu wa Kanisa la Christian Fellowship Assemblies of God la Arusha, Jumanne Kilongola amehukumiwa kifungo cha miaka 32 jela baada ya kupatikana na hatia ya kupora Sh5.3 bilioni ndani ya Benki ya NBC, Tawi la Moshi Mei 21, 2004.
Katika hukumu hiyo iliyotolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kilimanjaro, Simon Kobelo, askofu huyo amehukumiwa kifungo hicho pamoja na raia watano wa Kenya baada ya kupatikana na hatia ya kufanya wizi huo kwa mtutu wa bunduki.

Kati ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania kwenda jela SA kwa jaribio la kuua

Mahakama nchini Afrika Kusini imewahukumu kwenda jela miaka minane watu wanne wakiwamo Watanzania wawili kwa kosa la kutaka kumuua aliyekuwa mkuu wa majeshi wa Rwanda, Faustin Nyamwasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wasiotoa chakula kwa wanafunzi kwenda jela’

HALMASHAURI ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, imetoa siku 14 kwa watendaji wa vijiji kuhakikisha shule zilizopo katika vijiji vyao zinatoa chakula  cha mchana kwa wanafunzi, na atakayeshindwa awekwe ndani...

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri mkuu wa zamani wa Israel ahukumiwa kwenda jela

Olmert Ehud

Ehud Olmert

Jerusalem, Israel
Mahakama Kuu ya Israel, imemhukumu aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kuanzia mwaka 2006-2009, Ehud Olmert kifungo cha miezi 18 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye makosa ya kula rushwa yaliyokuwa yanamkabili.
Awali, Mei, 2014, Olmert alihukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kufuatia kukutwa na hatia katika makosa ya kupokea rushwa katika kipindi cha 1993 hadi 2003 alipokuwa Meya wa Jiji la Jerusalem. Baada ya hukumu ya awali, Olmert alikata rufaa na baada ya...

 

11 years ago

GPL

CHARLES EKELEGE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekelege. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekelege amehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwenda jela miaka mitatu na kuilipa serikali Dola 42,543 za Kimarekani, baada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka kwa kutoa asilimia 50. Kadhalika, Ekelege anadaiwa kutoa asilimia hiyo ya punguzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani