Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hashim Rungwe: Sigombei kwenda Ikulu kupiga ‘dili’

Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe amesema ameamua kugombea urais ili kutengeneza ajira kwa Watanzania wanaohitimu elimu katika ngazi mbalimbali na hakimbilii Ikulu kujinufaisha binafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hashim Rungwe achukua fomu, Dk Magufuli leo

Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amewataka Watanzania kuchagua wabunge wengi kutoka vyama vya upinzani ili kuleta mabadiliko ya kweli na umakini katika uamuzi wa masuala ya msingi.

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE HASHIM RUNGWE MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHAUMMA

HISTORIA YAKE

Hashim Rungwe Spunda, ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania akifanya kazi zake kama wakili binafsi. Alizaliwa tarehe 01 Januari 1949 katika eneo la Ujiji, mkoani Kigoma (Ametimiza miaka 66 mwezi Januari mwaka huu).

Hashim alianza elimu ya msingi katika shule ya msingi Kipampa iliyoko mkoani Kigoma kati ya mwaka 1959 – 1966 na akajiunga na masomo ya sekondari katika Shule ya Sekondari ya Chuo Kikuu cha Cambridge kati ya mwaka 1967 – 1969 na kuhitimu kidato cha nne, kabla ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Neno la leo: kwenda kupiga kura ni kwenda kuchagua

0,,16820284_303,00

Blogger Maggid Mjengwa.

Ndugu zangu,

Leo ni siku ya kupiga kura kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Huu ni Uchaguzi Muhimu sana katika nchi. Uchaguzi huu ndio MSINGI wa siasa kubwa za Kitaifa.

Siasa ya nchi inaanzia kwenye Mtaa, Kijiji na Kitongoji. Na hakika, siku ya leo ilipaswa uwe ni uchaguzi pia kwa ngazi ya Manispaa na Halmshauri, kwa maana ya kuwachagua Madiwani.

Inahusu Serikali za Mitaa ( Local Goverment). Nimepata kuandika, kuwa Mahtama Ghandhi alipata kusema, kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

DILI LA kutafsiri Video za mkutano wa TED kwenda Kiswahili

Habari zenu wadau,
Kwa wale ambao hawalifahamu hili ni kwamba kuna mkutano ambao umekuwa maarufu sana duniani unaitwa TED(TED: Ideas worth spreading), mkutano huu unakusanya wataalamu wa kada mbalimbali kujadiliana kuhusu jinsi ya kutatua na kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha.  mijadala hii inarekodiwa katika video ambazo mtu yeyote anaweza kuziangalia, lakini mara nyingi lugha inayotumika katika mijadala hii ni kiingereza ,ili kuweza pia kuwafikia watu wengine duniani ambao...

 

9 years ago

MillardAyo

Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake …

Usiku wa December 24 ulikuwa ni usiku ambao zilizagaa au kuvuja habari za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kutajwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Stori zilianza kama tetesi na baadae mmoja kati ya mitandao […]

The post Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Michuzi

Hashim Salum Hashim awa Kada wa 24 kuwania kiti cha Rais wa Zanzibar.


NA ANDREW CHALE,   ZANZIBAR.MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Hashim Salum Hashim (pichani) amekuwa Kada wa 24 kuchukua fomu ya kupata ridhaa ya chama  chake ya kuwa Rais wa Zanzibar.

Hashim Salum Hashim aliwasili majira ya saa Sita mchana na kisha kuchukua fomu hiyo na baadae alioata kuongea na waandishi wa Habari.
Akizungumza alisema:
"Nimekuwa Mwana CCM kwa muda mrefu na kwa miaka 15 nimeweza kuwa katika nyadhifa za kichama hadi sasa ikiwemo Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM...

 

9 years ago

Mwananchi

Kwenda Ikulu ni kazi

Kama ukubwa ni huu, wa kupelekeshwa mbiyo, Na kuwekwa roho juu, kila saa jakamoyo, Nawaacheni tuu, siukalifishi moyo, Ikulu nendeni nyinyi, mpendao uraisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015

Fukuto la kumpata mgombea wa kiti cha urais kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 kwa tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linazidi kupamba moto huku ikielezwa kuwa jina la mgombea litatajwa kabla ya Mei mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani