WALIOTAKA KWENDA IKULU WAISHIA RUMANDE DAR
VIJANA watatu wanaoaminika kuwa ni wafuasi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wamekamatwa na polisi eneo la Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 2, 2014, baada ya jaribio lao la kufanya matembezi kutoka mkoa wa Geita wakielekea Ikulu ya Dar es Salaam kumuona Rais Jakaya Kikwete kufikisha malalamiko yao. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Jordan Rugimbana, vijana hao watatu, Juma Maganga, Khalifa Selemani na Athanas Michael,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Oct
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Kwenda Ikulu ni kazi
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Waliotembea km 1, 200 kwenda Ikulu wakamatwa
Na Elias Msuya
ILE safari ya zaidi ya kilometa 1,200 ya makada watatu wa Chadema kutoka mkoani Geita waliotaka kwenda Ikulu ya Dar es Salaam kumwona Rais Jakaya Kikwete, imeishia mikononi mwa polisi baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, kuwazuia kuendelea na safari yao hadi watakapopata maelekezo.
Vijana hao, Khalid Selemani, Athanas Michael na Juma Maganga, walisema wameamua kutembea kwa miguu kwa siku 37 ili kumfikishia Rais Kikwete ujumbe wao kuhusu kupinga ufisadi,...
10 years ago
Mtanzania13 Jun
Monica Mbega ajihakikishia kwenda Ikulu
Na Francis Godwin, Iringa
WAKATI mbio za makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaowania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kupitia chama hicho zikiendelea kushika kasi, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Monica Mbega, jana ameingia mkoani hapa na kupata wadhamini 33.
Mwanamama huyo aliwataka Watanzania kutoaminishwa na mbwembwe za wagombea wenzake wanazofanya mikoani na kusema kuwa yeye ndiye rais wa awamu ya tano, huku akiwaomba Watanzania wamuunge mkono.
Mbega, ambaye alilazimika...
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Askofu: Kauli za kulazimisha kwenda Ikulu hatari
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Hashim Rungwe: Sigombei kwenda Ikulu kupiga ‘dili’
10 years ago
Mwananchi21 Jan
mtoto wa ‘housegirl’ aliyekabili vigingi vingi kwenda Ikulu- 2
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Fidel Castro; mtoto wa ‘housegirl’ aliyekabili vigingi vingi kwenda Ikulu- 2