Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


17 kortini kwa mkusanyiko usio halali

POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora imewafikisha mahakamani watu 17 wakishtakiwa kufanya mkusanyiko usio halali karibu na jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ambalo lilikuwa likitumika katika shughuli za kuhesabu kura za uchaguzi mkuu wa majimbo ya Igunga na Manonga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Masha kizimbani kwa mkutano usio halali

mashaVeronica Romwald na Jonas Mushi, Dar es Salaam

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa zamani, Lawrence Masha leo anatarajiwa kufikishwa mahakamani mjini Mpanda mkoani Katavi kwa mashitaka mawili likiwamo la kufanya mkutano na kuingia kwenye kambi ya wakimbizi bila kibali.

Masha ambaye ni wakili wa kujitegemea na ambaye hivi karibuni alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM) anashikiliwa na wenzake sita mkoani Katavi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi,...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya mkusanyiko wa chenga 20 za maudhi kwa mwaka 2015 za Neymar wa FC Barcelona …

Bado siku chache tu mtu wangu wa nguvu tuumalize mwaka 2015 na kuingia mwaka 2016, kuna mengi yametokea kwa mwaka 2015 katika tasnia tofauti tofauti, siku sita zimebakia ili kuweza kufikia mwaka mpya 2016 ila katika soka naomba nikusogezee video ya chenga 20 za maudhi za staa wa soka wa Brazil anayekipiga katika klabu ya […]

The post Kutana na video ya mkusanyiko wa chenga 20 za maudhi kwa mwaka 2015 za Neymar wa FC Barcelona … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA TFF KUHUSU MKUSANYIKO WA U12 DAR ES SALAAM


Watoto wenye umri chini ya miaka 12 wa Mkoa wa Dar es Salaam wanakusanyika kesho Jumamosi (Novemba 22 mwaka huu) asubuhi kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa ajili ya kusaka kombaini ya mkoa.
Mkusanyiko wa kusaka kombaini hiyo kwa ajili ya timu itakayoshiriki mashindano ya Taifa yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi ujao uko chini ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA).
Wachezaji hao wataanza kujaribiwa saa 1 hadi saa 5 asubuhi. Mashindano ya Taifa yatafanyika jijini Mwanza...

 

9 years ago

Raia Mwema

Baraza jipya la mawaziri, mkorogo usio hamasa kwa mabadiliko

RAIS John Pombe Magufuli (JPM) amekwishaunda Wizara 18 za Serikali yake na kutangaza mawaziri wa

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI 2015: REDET YAOMBA RADHI KWA UTAFITI USIO TIMILIFU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET. 

Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bangi halali kwa matibabu Jamaica

Baraza la mwaziri la Jamaica, limeidhinisha mswada ambao unahalalisha watu kumiliki kiwango kidogo cha Marijuana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mkusanyiko wa picha bora duniani mwaka 2019

Mkusanyiko wa picha za zilizozua hisia duniani mwaka 2019.

 

11 years ago

GPL

DUNIA YAMKUMBUKA MANDELA KATIKA MKUSANYIKO MKUBWA SOWETO

Ndugu na jamaa wa Mandela wakiwa wamekaa uwanjani huku mvua ikinyesha katika ibada ya kumkumbuka Mandela. Picha kubwa ya Mandel ikiwa katika Uwanja wa FNB.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani