Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masha kizimbani kwa mkutano usio halali

mashaVeronica Romwald na Jonas Mushi, Dar es Salaam

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa zamani, Lawrence Masha leo anatarajiwa kufikishwa mahakamani mjini Mpanda mkoani Katavi kwa mashitaka mawili likiwamo la kufanya mkutano na kuingia kwenye kambi ya wakimbizi bila kibali.

Masha ambaye ni wakili wa kujitegemea na ambaye hivi karibuni alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM) anashikiliwa na wenzake sita mkoani Katavi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

17 kortini kwa mkusanyiko usio halali

POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora imewafikisha mahakamani watu 17 wakishtakiwa kufanya mkusanyiko usio halali karibu na jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ambalo lilikuwa likitumika katika shughuli za kuhesabu kura za uchaguzi mkuu wa majimbo ya Igunga na Manonga.

 

9 years ago

Mwananchi

Masha apanda kizimbani, apata dhamana

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha jana alipandikishwa kizimbani pamoja na viongozi  sita wa Chadema mkoani Katavi, wakishtakiwa kwa tuhuma za kufanya mkutano wa hadhara na kuingia bila kibali kwenye kambi ya wakimbizi ya  Katumba wilayani Mlele.

 

9 years ago

Habarileo

‘Waziri’ Masha awekwa kizimbani Dar

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kutumia lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi.

 

9 years ago

Raia Mwema

Baraza jipya la mawaziri, mkorogo usio hamasa kwa mabadiliko

RAIS John Pombe Magufuli (JPM) amekwishaunda Wizara 18 za Serikali yake na kutangaza mawaziri wa

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI 2015: REDET YAOMBA RADHI KWA UTAFITI USIO TIMILIFU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET. 

Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...

 

9 years ago

GPL

MASHA AACHIWA KWA DHAMANA

Lawrence Masha akiwa na wanachama wa Ukawa baada ya kuachiwa. Baada ya jana kulala mahabusu ya segerea, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha leo ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Masha, ambaye anashitakiwa kwa kosa la kuwazuia Polisi wasifanye kazi ikiwa ni pamoja na kuwatolea lugha ya matusi. Jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alisomewa mashtaka...

 

10 years ago

Vijimambo

JK AMTEUA MASHA MSHOMBA MKURUGENZI MKUU WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Masha J. Mshomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.Uteuzi huo ulianza Alhamisi iliyopita, Januari 22, 2015.Kabla ya uteuzi wake, Bwana Musomba alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF).

 

10 years ago

BBCSwahili

Bangi halali kwa matibabu Jamaica

Baraza la mwaziri la Jamaica, limeidhinisha mswada ambao unahalalisha watu kumiliki kiwango kidogo cha Marijuana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani