Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUSANYIKO WA WANACHAMA WA CCM ULIOJITOKEZA KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Amini Salimini Ajinadi kwa Wanachama wa CCM Jimbo la Mkwajuni Unguja Wakati wa Uzinduzi wa Kampeni.

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo las Mkwajuni Zanzibar Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Ndg Khamis Mohammed Jecha akifungua rasmini Kampeni xza Wagombea Uwakilishi Ubunge na Udiwani wa Jimbo la Mkwajuni katika Tawi la CCM Moga A Wilaya ya Kaskazini Unguja jana Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Amini Salimini Amour Juma akiwahutubia Wananchi wa Tawi la CCM Moga A Kaskazini A Unguja wakati wa uzinduzi wa kampeni uliozinduliwa Rasmin Zanzibar katika Majimbo yote ya Uchaguzi kupitia...

 

11 years ago

CloudsFM

WASANII WAMWALIKA RAIS KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NAIAMINIA TANZANIA’,JUMAMOSI HII KWENYE UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Naiminia Tanzania ndiyo habari ya mjini, weekend hii siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Dodoma wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini wameandaa ufunguzi wa kampeni kubwa inayoitwa ‘Naiaminia Tanzania’.Ambayo ni muendelezo wa ile ngoma yao ya miaka 50 ya tanzania, ambayo waliirekodi wasanii 50, wakashuti na video.Msanii wa Bongo Fleva,Mwana FA pamoja na Nikki Wa Pili watatoa speech mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE UZINDUZI WA KAMPENI CCM

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kampeni ya Urais katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro).







 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Saa nane za uzinduzi wa kampeni za CCM Dar

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli jana alizindua kampeni za urais jijini Dar es Salaam katika tukio ambalo liliwavuta wanachama, wafuasi na mashabiki wa chama hicho tangu saa nne asubuhi mpaka saa 12.40 jioni.

 

9 years ago

Habarileo

Mkapa kunogesha uzinduzi kampeni za CCM Kagera

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa leo anatarajiwa kuzindua kampeni za CCM mkoa wa Kagera kwenye Uwanja wa Uhuru mjini hapa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mary Nagu uzinduzi kampeni za CCM Arusha

SAM_5821

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akimnadi mgombea Ubunge pamoja na madiwa katika uzinduzi wa kampeni jimbo la Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika uwanja wa soko kuu jijini Arusha.(Picha zote na Pamela Mollel wa jamiiblog Arusha).

SAM_5835 Umati wa watu uliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Arusha mjini katika eneo la soko kuu jijini Arusha, ambapo rasmi walizindua kampeni za ubunge na udiwani SAM_5823

Mbunge jimbo la Arusha mjini kupitia Chama cha...

 

9 years ago

Vijimambo

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Uwanja wa Gombani ya Kale ChakeChake Pemba Dk Shein.

Rais wa Baraza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya Urais Kisiwani Pemba, ufunguzi huo umefanyika leo jioni.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM akiwa na Viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika viwanja vya Gombani ya Kale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani