Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amini Salimini Ajinadi kwa Wanachama wa CCM Jimbo la Mkwajuni Unguja Wakati wa Uzinduzi wa Kampeni.

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo las Mkwajuni Zanzibar Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Ndg Khamis Mohammed Jecha akifungua rasmini Kampeni xza Wagombea Uwakilishi Ubunge na Udiwani wa Jimbo la Mkwajuni katika Tawi la CCM Moga A Wilaya ya Kaskazini Unguja jana Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Amini Salimini Amour Juma akiwahutubia Wananchi wa Tawi la CCM Moga A Kaskazini A Unguja wakati wa uzinduzi wa kampeni uliozinduliwa Rasmin Zanzibar katika Majimbo yote ya Uchaguzi kupitia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Amini Salimini Awania Ubunge Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Kupitia Tiketi ya CCM

Mtoto wa Komando Dk Salmin Amour Juma Amini Salimini achukua Fomu kogombea Jimbo la Mkwajuni Zanzibar akiwasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kaskazini A Gamba kwa ajili ya kuchukua Fomu kogombea Jimbo hilo, akisalimiana na Wananchi waliopo hapo. Mama wa Amini Salimi Bi Khadija Kasimi akisalimiana na Katibu Msaidi wa Ofisi ya CCM Wilaya Kaskazini A Unguja alipofika katika Ofisi hizo kumshindikiza Mtoto wake kuchukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar. Katibu Msaidizi wa Ofisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Amini Salimini Amour Awania Ubunge Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Kupitia Tiketi ya CCM

Mtoto wa Komando Dk Salmin Amour Juma Amini Salimini achukua Fomu kugombea Jimbo la Mkwajuni Zanzibar akiwasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kaskazini A Gamba kwa ajili ya kuchukua Fomu kogombea Jimbo hilo, akisalimiana na Wananchi waliopo hapo. Mama wa Amini Salimi Bi Khadija Kasimi akisalimiana na Katibu Msaidi wa Ofisi ya CCM Wilaya Kaskazini A Unguja alipofika katika Ofisi hizo kumshindikiza Mtoto wake kuchukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar. Katibu Msaidizi wa Ofisi ya...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA TUNGUU, UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Uwakilishi Jimbo jipya la Tunguu Simai Mohammed Said  wakati wa  Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Uwakilishi Jimbo la Uzini Mohammed Raza...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza AMJADI,Awahutubia Wananchi wa Jimbo Hilo katika Mkutano Wake wa Kampeni Viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni Unguja.

Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani wakiwapungia mikono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni wakati msoma utenzi akitaja majina ya Wagombea.Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya Jimbo la Chumbuni Unguja.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MOROGORO MJINI

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini wakiwaasa wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini Kumchagua MH John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Akiwahutubia wananchi na wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za  Ubunge za Jimboni humo.

Wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MUSTAFA PANJU AJINADI KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA ASEMA AKIPATA UBUNGE HAWATAJUTIA KAMWE

SAM_3941Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM akiongea katika mkutano wa hadhara katika kata mpya ya Olmoti jana ambapo wagombea 12 walipata fursa ya kujitambulisha kwa wananchi na kunadi sera zao, Mustapha panju amesema kuwa kilicho msukuma kugombea nafasi hiyo ni kuakikisha wananchi wa jimbo la arusha wanapata ridhaa ya kuwa na maendeleo ya hali ya juu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani