Amini Salimini Awania Ubunge Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Kupitia Tiketi ya CCM
Mtoto wa Komando Dk Salmin Amour Juma Amini Salimini achukua Fomu kogombea Jimbo la Mkwajuni Zanzibar akiwasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kaskazini A Gamba kwa ajili ya kuchukua Fomu kogombea Jimbo hilo, akisalimiana na Wananchi waliopo hapo.
Mama wa Amini Salimi Bi Khadija Kasimi akisalimiana na Katibu Msaidi wa Ofisi ya CCM Wilaya Kaskazini A Unguja alipofika katika Ofisi hizo kumshindikiza Mtoto wake kuchukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar.
Katibu Msaidizi wa Ofisi ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAmini Salimini Amour Awania Ubunge Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Kupitia Tiketi ya CCM
10 years ago
VijimamboAmini Salimini Ajinadi kwa Wanachama wa CCM Jimbo la Mkwajuni Unguja Wakati wa Uzinduzi wa Kampeni.
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Mtoto wa Rais mstaafu Salmini Amour ‘Komando’ Amin Salmini achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Mkwajuni Zanzibar
Wilaya ya Kaskazini A Unguja, Shafi Hamadi wakati alipofika kwenye Ofisi hizo za CCM kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea Ubunge wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar.
10 years ago
MichuziWAGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI JIMBO LA TUNGUU KWA TIKETI CCM WANDAA BONANZA LA MICHEZO MBALIMBALI KWA WANAWAKE WA JIMBO HILO
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Phidesia Mwakilima aibuka kidedea uchaguzi wa Ubunge wa viti maalum kupitia tiketi ya Jumuiya ya Wazazi CCM

Mwanadada Phidesia Mwakilima.
Na Woinde Shizza, wa libeneke la kaskazini blog
Mkurugenzi wa kampuni ya Phide Entertainment ambaye pia ni Meneja masoko wa kituo cha redio Triple A ya Arusha, Phidesia Mwakilima, ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa mbunge viti maalum kupitia Jumuiya ya wazazi (UWT) Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha.
Phidesia Mwakilima, amepata kura 18 na kuwashinda, Aimbora Nnko, aliyepata kura 6, Angela Mwanri kura 4 na Anna John kura 2 ,uchaguzi huo umefanyika ukumbi wa...
10 years ago
Vijimambo
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI KWA TIKETI YA CCM AWATAKA WANANCHI KUJIANDAA NA MAENDELEO

10 years ago
Vijimambo
AFISA UHAMIAJI ZANZIBAR, MAHAFOUDH ABDALLAH ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA NAFSAI YA UWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM.





10 years ago
Michuzi
PROFESA MBARAWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MKOANI PEMBA KWA TIKETI YA CCM AKIZINDUA KAMPENI
