Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FILIKUNJOMBE ALIPOCHUKULIWA FOMU NA WAZEE ILI KUWANIA UBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA KUPITIA CCM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANA CCM KIBAO WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Priscus Tarimo, akikabidhiwa fomu ya nafasi hiyo na katibu wa CCM manispaa ya Moshi, Loth Ole Nesele katika ofis za chama hicho za Wilaya ya Moshi mjini.Naibu kamanda wa Vijana wa CCM, manispaa ya Moshi, Edmund Rutaraka akipokea fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kutoka kwa katibu msaidizi wa CCM wilaya ya Moshi mjini,Donatha Mushi.Kada wa Chama cha Mapinduzi manispaa ya Moshi Daudi Mrindoko akiwa...

 

10 years ago

Michuzi

FILIKUNJOMBE APELEKEWA FOMU YA UBUNGE NYUMBANI KWAKE , MWENYEWE AMPONGEZA JK ASEMA DR MAGUFULI ATEGEMEE KURA ZA KISHINDO LUDEWA

Msafara  wa  vijana wa Boda  boda  zaidi ya 300  waliowasindikiza  wazee wa Ludewa kumchukulia  fomu  mbunge  Deo FilikunjombeWazee  wakimpoelekea  fomu ya ubunge Deo Filikunjombe nyumbani kwake  kwa maandamanoSafari  ya  kuelekea  nyumbani kwa Filikunjombe kukabidhi fomu ya ubunge.Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  akipokea  fomu  kutoka kwa  wazee  na vijana  waliomchukulia na kwenda  kumkabidhi nyumbani kwake Ibani mjini  Ludewa. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO

  Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini  Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
  Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...

 

9 years ago

GPL

CCM LUDEWA YAMPITISHA NGALAWA KUWANIA UBUNGE

Kada wa CCM, Deo Ngalawa. NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38). ...

 

9 years ago

Mwananchi

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU YA SERIKALI YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba kwa tiketi ya CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa Fomu za Serikali za kuwania Ubunge jimbo la Iramba kupitia CCM.Fomu zimetolea hii leo Ofisi ya Mkurugenzi wilaya ya Iramba.Mwigulu Nchemba akizaja Stakabadhi ya Malipo iliaweze kuchukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Iramba.Mwigulu NChemba akiwa na Wagombea Udiwani kwa tiketi ya CCM,Jimbo la Iramba.

 

10 years ago

Michuzi

MH. MAKALLA ACHANGIWA FEDHA ZA KUCHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MVOMERO

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla Aprili 3,2015 alichangiwa fedha kiasi cha sh 2,319,500 na wananchi wa kijiji cha Manyinga na vijiji vya jirani kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge mara muda utakapofika.
Tukio la kuchangiwa fedha za kuchukulia fomu lilichagizwa na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Stephen Kebwe aliyefanya ziara ya kukagua hospitali teule ya Bwagala na kisha kuongea na wananchi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara.
Alipopanda jukwaani, Dk. Stephen Kebwe...

 

11 years ago

Michuzi

MUUZA MAGAZETI AJITOKEZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KUPITIA CHADEMA

Bw. Aidan Pugili WAKALA wa magazeti mjini Iringa Aidan Pugili (34),  amejitokeza kuwania ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Uchaguzi mdogo wa kujaza kiti hicho kilichoachwa wazi na Dk William Mgimwa aliyefariki Januari 1, mwaka huu, utafanyika Machi 16, mwaka huu.
Akitumia umaarufu wake wa kuuza magazeti mjini hapa, Pugili aliyesindikizwa na baadhi ya wauza magazeti wenzake alichukua fomu za Chadema kwa staili ya aina yake...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMANDA JOHN BUYAMBA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ILEMELA.

Aliekuwa Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Misungwi John Buyamba (Kulia) akionyesha fomu ya kuwania kugombea Ubunge jimbo la Ilemela.
Na:George GB PazzoMakada mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Mwanza, wameendelea kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya chama hicho ili kugombea nafasi za uongozi kwa ngazi za Udiwani na Ubunge.
Zaidi ya Makada sita wa chama hicho tayari wamejitokeza na kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ilemela,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani