FILIKUNJOMBE APELEKEWA FOMU YA UBUNGE NYUMBANI KWAKE , MWENYEWE AMPONGEZA JK ASEMA DR MAGUFULI ATEGEMEE KURA ZA KISHINDO LUDEWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-z5cprvMqfw4/Vaul3p01mgI/AAAAAAAB-6w/_XOM3U0gLGA/s72-c/DSC_0050.jpg)
Msafara wa vijana wa Boda boda zaidi ya 300 waliowasindikiza wazee wa Ludewa kumchukulia fomu mbunge Deo Filikunjombe
Wazee wakimpoelekea fomu ya ubunge Deo Filikunjombe nyumbani kwake kwa maandamano
Safari ya kuelekea nyumbani kwa Filikunjombe kukabidhi fomu ya ubunge.
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akipokea fomu kutoka kwa wazee na vijana waliomchukulia na kwenda kumkabidhi nyumbani kwake Ibani mjini Ludewa. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAMIA WAMUAGA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA NDUGU ZAKE NYUMBANI KWAKE KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/THi-Jyp0Z5M/default.jpg)
11 years ago
Michuzi14 Jun
Mbunge Filikunjombe avunja rekodi ya kutembelewa na wageni wengi bungeni kutoka jimboni kwake Ludewa
![](https://4.bp.blogspot.com/-svNAPlFlzW4/U5wHbEEO3AI/AAAAAAABpXM/KatQPR0XE9A/s640/30d.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-GJt815uzt6M/U5wHdG1omcI/AAAAAAABpXU/tNBHpnPSxwA/s640/30e.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-X62nnTeKU4E/U5wHhhpFuDI/AAAAAAABpXk/yeH7D55JXPw/s640/30g.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-FKH6vEqVPjI/U5wHj1ASdzI/AAAAAAABpXs/sTeRtsxZGgs/s640/30h.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Wananchi Ludewa wamzomea mgombea ubunge aokolewa kupigwa kisa uongo kumtukana Filikunjombe
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qf2kJrf2ApE/U_TMnJwScBI/AAAAAAAGA9w/PQH5wIenR2g/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
Mbunge wa Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji Jimboni kwake kwa kunywa maji ya Mtoni
![](http://2.bp.blogspot.com/-qf2kJrf2ApE/U_TMnJwScBI/AAAAAAAGA9w/PQH5wIenR2g/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Xm1XeshQta4/U_TMnTV5pEI/AAAAAAAGA9s/XI0MMyay-dk/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rK1VaY_EFGI/VeNpEL0ZFlI/AAAAAAAH1Dw/l8iu0v-1eeo/s72-c/_MG_9335.jpg)
MAGUFULI APOKEWA KWA KISHINDO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-rK1VaY_EFGI/VeNpEL0ZFlI/AAAAAAAH1Dw/l8iu0v-1eeo/s640/_MG_9335.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-zAT65H3Am_E/VeNpGtatB2I/AAAAAAAH1D4/FBH4SCVozZM/s640/_MG_9451.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-K6dpwzuXxpo/VeNojq8T0kI/AAAAAAAH1DQ/VgfvkNY33tI/s640/_MG_9275.jpg)
9 years ago
Bongo511 Nov
Masanja aangukia pua kwenye kura za maoni ya ubunge Ludewa
![Masanja Mkandamizaji](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Masanja-Mkandamizaji-300x194.png)
Mchekeshaji, Masanja Mkandanizaji ameangukia pua katika kura za maoni za ubunge katika jimbo la Ludema baada ya kupata kura chache.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Deo Ngalawa aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501.
Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21)...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mtangaza nia ubunge Ludewa aangukia pua nafasi ya NEC , asema hataki tena kugombea
Mkuu wa wilaya ya Ludewa, Antonia Choya akimkabidhi hati ya shukrani mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (kushoto).
Mjumbe wa mkutano huo Bw. Choya akipiga kura.
Wajumbe wakishiriki kupiga kura.
Wajumbe ...