MUUZA MAGAZETI AJITOKEZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KUPITIA CHADEMA
Bw. Aidan Pugili
WAKALA wa magazeti mjini Iringa Aidan Pugili (34), amejitokeza kuwania ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Uchaguzi mdogo wa kujaza kiti hicho kilichoachwa wazi na Dk William Mgimwa aliyefariki Januari 1, mwaka huu, utafanyika Machi 16, mwaka huu.
Akitumia umaarufu wake wa kuuza magazeti mjini hapa, Pugili aliyesindikizwa na baadhi ya wauza magazeti wenzake alichukua fomu za Chadema kwa staili ya aina yake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMWALIMU AJITOKEZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KUPITIA CHADEMA
11 years ago
Michuzi12 Feb
MWALIMU AJITOKEZA KUOMBA UBUNGE KALENGA KUPITIA CHADEMA
11 years ago
Michuzi23 Feb
CHADEMA WAZINDUA RASMI KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana na mvua kubwa kunyesha Mgombea wa Ubunge kupitia chama cha CHADEMA akinadiwa na Katibu mkuu wa chama hicho Dr. W. Slaa wakati wa kampeni hizo zilizoanza hii leo katika jimbo la Kalenga.
11 years ago
GPLCHADEMA KATIKA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Kada CCM ajing’oa, kuwania ubunge kupitia Chadema
Mapokezi ya Fransico Kimasa Shejamabu (mwenye gwanda) akielekea katika viwanja vya shule ya msingi Pambalu wilayani Sengerema kuhutubia wananchi. (picha zote na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema).
Na Daniel Makaka, Sengerema.
Aliyekuwa kada wa wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya Sengerema mkoani Mwanza Bw. Fransico Kimasa Shejamabu ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)ambacho amejiunga nacho.
Kauli hiyo ameitoa mjini hapa...
10 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzi20 Feb
PINGAMIZI LA CHADEMA DHIDI YA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA LATUPWA
Lile pingamizi lililokuwa limewekwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) dhidi ya mgombea ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limetupwa.
Katika pingamizi lao lilowasilishwa juzi, Chadema walikuwa wanapinga Godfrey Mgimwa kugombea ubunge kupitia CCM kama alivyoomba kwa kuwa sio raia wa Tanzania.
Tetesi za tatizo la uraia wa Godfrey Mgimwa zilisambaa mjini Iringa baada ya Chadema kuweka pingamizi hilo.
Katika Pingamizi...
11 years ago
GPLMSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA
10 years ago
MichuziCHADEMA MOSHI MJINI WAMPITISHA JAFARY MICHAEL KUWANIA UBUNGE WA JIMBO HILO
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburoakizungumza wakati wa mkutano huo.
Jafary Michael aliye chaguliwa na Chadema kupeperusha Bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba katika...