Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saa nane za uzinduzi wa kampeni za CCM Dar

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli jana alizindua kampeni za urais jijini Dar es Salaam katika tukio ambalo liliwavuta wanachama, wafuasi na mashabiki wa chama hicho tangu saa nne asubuhi mpaka saa 12.40 jioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jumapili viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Benjamin William Mkapa wakimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara uliovutia umati uliovunja rekodi kwa wingi katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es alaam Jumapili Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Kikwete na Rais Shein pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa Waziri...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE UZINDUZI WA KAMPENI CCM

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kampeni ya Urais katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro).







 

9 years ago

Dewji Blog

Mary Nagu uzinduzi kampeni za CCM Arusha

SAM_5821

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akimnadi mgombea Ubunge pamoja na madiwa katika uzinduzi wa kampeni jimbo la Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika uwanja wa soko kuu jijini Arusha.(Picha zote na Pamela Mollel wa jamiiblog Arusha).

SAM_5835 Umati wa watu uliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Arusha mjini katika eneo la soko kuu jijini Arusha, ambapo rasmi walizindua kampeni za ubunge na udiwani SAM_5823

Mbunge jimbo la Arusha mjini kupitia Chama cha...

 

9 years ago

Habarileo

Mkapa kunogesha uzinduzi kampeni za CCM Kagera

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa leo anatarajiwa kuzindua kampeni za CCM mkoa wa Kagera kwenye Uwanja wa Uhuru mjini hapa.

 

9 years ago

Vijimambo

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Uwanja wa Gombani ya Kale ChakeChake Pemba Dk Shein.

Rais wa Baraza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya Urais Kisiwani Pemba, ufunguzi huo umefanyika leo jioni.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM akiwa na Viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika viwanja vya Gombani ya Kale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani