Modewjiblog yapatwa na kwikwi, yaomba radhi kwa wasomaji wake
![](http://4.bp.blogspot.com/-9roLcqCyblk/VcmXcDYz7nI/AAAAAAAHwAQ/rsQaLF0tomY/s72-c/DuLwKj7l.jpg)
Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’ kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii kwa taarifa zaidi https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack ambayo yako nje ya uwezo wetu.
Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.----------------------------------There has been an undergoing DDOS attach on the...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
MOblog inaomba radhi kwa wasomaji wake
Mtandao wako wa habari www.modewjiblog.com unaomba radhi wa wasomaji wake kwa kutokuwa hewani kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza siku ya Jumamosi ambayo yameshughulikiwa na wataalamu wetu.
Kwa hivyo tunapenda kuwapa taarifa kuwa mtandao wetu umerudi hewani katika hali yake ya kawaida.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza husani kwa wasomaji wetu pamoja na wadhamini wetu BancABC, East Coast Oils and Fats Ltd, MeTL AGRO, Dar Insights, Wanawake Live pamoja MeTL...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/moblog-2.jpg)
MOblog INAOMBA RADHI KWA WASOMAJI WAKE
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!
[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.
Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Coastal Union yaomba radhi kwa vurugu
10 years ago
Habarileo21 May
Serikali yaomba radhi kwa migomo vyuo vikuu
NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewaomba radhi wanafunzi wote wa vyuo vikuu nchini, kwa kuchelewa kuwafikishia fedha zao za kujikimu. Hata hivyo, aLIsisitiza kuwa tangu juzi fedha hizo zilishatoka Hazina.
10 years ago
Vijimambo07 Jul
UCHAGUZI 2015: REDET YAOMBA RADHI KWA UTAFITI USIO TIMILIFU
Baadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET.
Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Misri yaomba radhi
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Yanga yaomba radhi mashabiki
KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, mewaomba radhi mashabiki kutokana na kufutwa kwa mechi yao ya kirafiki dhidi Big Bullet ya Malawi iliyokuwa ichezwe jana katika Uwanja...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1.Msomaji-wa-Gazeti-la-la-Uwazi-mkazi-wa-eneo-la-Buza-Bakwata-akipokea-zawadi-yake-ya-Sukari-kutoka-kwa-Mr.-Uwazianayeshudia-kulia-ni-Ofisa-Usambazaji-wa-GlobalYohana-Mkanda..jpg?width=650)
MR UWAZI AMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE