Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtibwa Sugar yaichapa Mafunzo

TIMU ya soka ya Mtibwa Sugar jana ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo katika muendelezo wa mechi za michuano ya kombe la Mapinduzi inayofanyika kwenye uwanja wa Amani mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Azam FC yaiadhibu Mtibwa Sugar leo,yaichapa bao 5-2


Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la tano dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azama Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 5-2. (Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar akimiliki mpira.
 Frank Domayo (shoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Mussa Nampaka.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo.
Kipre Tchetche akimiliki mpira.
 Frank Domayo akishangilia bao lake.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA MTIBWA 2-0 TAIFA

Mrisho Ngassa. TIMU ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mechi hiyo imechezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku mabao yote mawili ya Yanga yakiwekwa kimiani na Mrisho Ngassa.

 

11 years ago

Michuzi

kagera sugar yaichapa Tanzania prisons 2-1 leo bukoba

Kikosi cha Kagera Sugar
Na Faustine Ruta,  Bukoba Ligi Kuu Vodacom imeendelea leo na hapa Mjini Bukoba tukishuhudia Timu ya Maafande kutoka Jijini Mbeya ikinyukwa bao 2-1 na  wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba.  Kipindi cha kwanza Tanzania Prisons ndio walipata bao kupitia kwa mchezaji wao Peter Michael katika dakika ya 37 baada ya kuwachambua kama karanga mabeki wa Kagera Sugar na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Kagera Sugar.  Mpaka dakika za mapumziko Tanzania Prisons...

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yaichakaza Mtibwa Sugar

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam wamelizamisha jahazi la Mtibwa Sugar kwa kuichapa mabao 5-2 jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtibwa Sugar kambini kesho

TIMU ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani mkoani Morogoro, inatarajiwa kuingia kambini kesho kujiwinda na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtibwa ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa nafasi...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtibwa Sugar yajisafishia njia Mapinduzi

Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo umeihakikishia Mtibwa Sugar nafasi ya kusonga mbele kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba SC, Mtibwa Sugar kiama leo

Ni fainali ya aina yake ya Kombe la Mapinduzi baina ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mtibwa Sugar na Simba.

 

11 years ago

GPL

SIMBA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR

HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa taifa baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda  nafasi ya tatu, sawa na  Vinara Mbeya city wenye pointi 31. Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani