JK: Sekta ya elimu imeanza kuzaa matunda
RAIS Jakaya Kikwete amesema jitihada za Serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini, zimeanza kuzaa matunda, na sasa takribani shule zote za Serikali zimeanza kufanya vizuri tofauti na miaka ya nyuma.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Apr
Vita ya ujangili yaanza kuzaa matunda
Na Mwandishi Wetu, Manyoni
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kumekuwapo na mafanikio katika vita dhidi ya majangili kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, majangili walivamia kwa kasi na kuwaua wanyamapori wakiwamo tembo na faru, hatua ambayo iliibua tishio la kutoweka kwa baadhi ya wanyamapori.
Juzi Waziri Nyalandu alitangaza kukamatwa kwa silaha za kivita zikiwamo bunduki za AK 47 na SMG katika Pori la Akiba la Rungwa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-U2Vcm4HoLAI/Uwm66Qbe-eI/AAAAAAAFO2s/7heoPkRG8Cg/s72-c/unnamed+(4).jpg)
Maboresho bandari ya Dar es Salaam yaanza kuzaa matunda
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Elimu dhidi ya unyanyasaji Mbozi yaonyesha matunda
UNYANYASAJI wa kijinsia unapingwa na mataifa mbalimbali duniani. Hapa nchini kuna mashirika ya kutetea haki za binadamu yanayohakikisha mwanamke analindwa na kupewa haki zake za msingi ili asikandamizwe na mwanaume....
9 years ago
StarTV26 Nov
Haki Elimu yazindua jopo la ushauri Uboreshaji Sekta Ya Elimu
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Nchini imeshauriwa kuyafanyia kazi mapendekezo yanayotolewa na wadau wa elimu katika sekta hiyo pamoja na kuboresha Idara ya Ukaguzi Shuleni ili kuhakikisha elimu inatolewa kwa usahihi.
Imeelezwa kuwa kwa kuzingatia hayo kutasaidia kuboresha Sekta ya elimu nchini hususani katika Shule za Umma, ambazo baadhi ya wazazi wamekuwa wakikwepa kuwapeleka watoto wao kutokana na dhana ya kuwa na elimu duni.
Katika uzinduzi wa jopo la washauri...
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Mauya: Tunayoona ni matunda ya kuichezea elimu miaka ya 1970
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mabadiliko sekta ya elimu
SERIKALI imesema kuwa wanafunzi 16,800 wakiwemo watahiniwa wa kujitegemea 10, wenye sifa lakini wamekosa nafasi za kujiunga kidato cha tano, sasa wataanzishiwa utaratibu wa kusoma stashahada ya ualimu pamoja na...
9 years ago
Mtanzania05 Dec
‘Sekta ya Elimu taabani’
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
UBORA wa elimu katika Serikali ya Awamu ya Nne umetajwa kushuka kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu kutokana na kukosekana kwa falsafa ya kuendeleza elimu licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa Uzinduzi wa Ripoti ya Elimu ya Miaka 10 ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, John Kalage, alisema katika kipindi cha uongozi wa...
10 years ago
Habarileo01 Sep
‘Msiitumie sekta ya elimu kibiashara’
WATU waliowekeza kwenye sekta ya elimu wilayani Kinondoni wametakiwa kutoitumia sekta hiyo kama biashara badala yake watoe huduma ili isiwe mzigo kwa wazazi na walezi wanaosomesha watoto.