‘Sekta ya Elimu taabani’
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
UBORA wa elimu katika Serikali ya Awamu ya Nne umetajwa kushuka kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu kutokana na kukosekana kwa falsafa ya kuendeleza elimu licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa Uzinduzi wa Ripoti ya Elimu ya Miaka 10 ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, John Kalage, alisema katika kipindi cha uongozi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV26 Nov
Haki Elimu yazindua jopo la ushauri Uboreshaji Sekta Ya Elimu
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Nchini imeshauriwa kuyafanyia kazi mapendekezo yanayotolewa na wadau wa elimu katika sekta hiyo pamoja na kuboresha Idara ya Ukaguzi Shuleni ili kuhakikisha elimu inatolewa kwa usahihi.
Imeelezwa kuwa kwa kuzingatia hayo kutasaidia kuboresha Sekta ya elimu nchini hususani katika Shule za Umma, ambazo baadhi ya wazazi wamekuwa wakikwepa kuwapeleka watoto wao kutokana na dhana ya kuwa na elimu duni.
Katika uzinduzi wa jopo la washauri...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mabadiliko sekta ya elimu
SERIKALI imesema kuwa wanafunzi 16,800 wakiwemo watahiniwa wa kujitegemea 10, wenye sifa lakini wamekosa nafasi za kujiunga kidato cha tano, sasa wataanzishiwa utaratibu wa kusoma stashahada ya ualimu pamoja na...
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Sekta ya elimu ijengwe upya
10 years ago
Habarileo01 Sep
‘Msiitumie sekta ya elimu kibiashara’
WATU waliowekeza kwenye sekta ya elimu wilayani Kinondoni wametakiwa kutoitumia sekta hiyo kama biashara badala yake watoe huduma ili isiwe mzigo kwa wazazi na walezi wanaosomesha watoto.
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Serikali, sekta binafsi kuinua elimu
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema itaendelea kushirikiana na watendaji na sekta binafsi katika kupatia ufumbuzi wa ukuaji wa elimu nchini ili kufikia malengo ya Matokeo Makubwa Sasa...
10 years ago
Habarileo20 Feb
Pinda: Serikali haijapuuza Sekta ya Elimu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Serikali haijapuuza Sekta ya Elimu nchini, ingawa changamoto ni kubwa ambazo serikali inaendelea kukabiliana nazo.
11 years ago
Mwananchi27 May
Tunayapimaje mafanikio katika sekta ya elimu?
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Embukoi wapania mapinduzi sekta ya elimu
MWENYEKITI wa Kijiji cha Embukoi wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, Lazaro Lengere, amesema kwamba wamejipanga kuleta mapinduzi kwenye sekta ya elimu kwa kujali usawa wa kijinsia, kitu ambacho miaka ya...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Nasubiri Dk Magufuli ageukie sekta ya elimu