Mabadiliko sekta ya elimu
SERIKALI imesema kuwa wanafunzi 16,800 wakiwemo watahiniwa wa kujitegemea 10, wenye sifa lakini wamekosa nafasi za kujiunga kidato cha tano, sasa wataanzishiwa utaratibu wa kusoma stashahada ya ualimu pamoja na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Prof Kahigi: Serikali ifanyie mabadiliko sekta ya elimu
MBUNGE wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahigi (CHADEMA), ameitaka serikali kuifanyia mabadiliko sekta ya elimu kwa kuzingatia hali ya utandawazi iliyopo, ili kuepukana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza. Profesa Kahigi alitoa ushauri...
9 years ago
StarTV26 Nov
Haki Elimu yazindua jopo la ushauri Uboreshaji Sekta Ya Elimu
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Nchini imeshauriwa kuyafanyia kazi mapendekezo yanayotolewa na wadau wa elimu katika sekta hiyo pamoja na kuboresha Idara ya Ukaguzi Shuleni ili kuhakikisha elimu inatolewa kwa usahihi.
Imeelezwa kuwa kwa kuzingatia hayo kutasaidia kuboresha Sekta ya elimu nchini hususani katika Shule za Umma, ambazo baadhi ya wazazi wamekuwa wakikwepa kuwapeleka watoto wao kutokana na dhana ya kuwa na elimu duni.
Katika uzinduzi wa jopo la washauri...
11 years ago
Habarileo15 Apr
Mabadiliko makubwa sekta ya maji
KUANZIA Juni mwaka huu hadi mwishoni mwa mwaka 2015 serikali imedhamiria kufanya mabadiliko makubwa ya kupeleka maji katika maeneo mengi vijijini.
10 years ago
Habarileo28 Dec
Mabadiliko makubwa sekta ya uchukuzi
MOJA ya sekta ambazo Serikali ya Awamu ya Nne inatarajiwa kujivunia nayo, ni mabadiliko katika sekta ya uchukuzi, ambayo ina mchango mkubwa katika uchumi wa nchi.
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
Mabadiliko haya ndani ya sekta ya habari ni hazina kubwa kwa nchi
Na Mwandishi wetu
Sekta ya Habari ni moja ya sekta za huduma za jamii inayotoa huduma ambayo ni haki ya msingi ya raia kama ilivyotamkwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Ibara ya 18 (2) ya Katiba inasema kuwa kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wowote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.
Aidha, kutafuta na kupewa habari kunatambuliwa duniani kote...
5 years ago
MichuziFEDHA ZA RAIS MAGUFULI ZALETA MABADILIKO SEKTA YA MIFUGO MKOANI LINDI
Mara baada ya baada ya Serikali ya Mkoa huo kukubali kupokea mifugo toka Mikoa mingine yenye idadi kubwa ya ng’ombe, sekta ya mifugo imeendelea kukua na kuongeza mwamko kwa wananchi katika kujiletea maendeleo yao.
Mkoa wa Lindi hadi kufikia mwezi Machi,...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Tunahitaji mabadiliko kwenye elimu
MIONGONI mwa habari zilizopo kwenye gazeti hili ni kauli ya Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, kutaka elimu ipewe kipaumbele zaidi Kwa mujibu wa Sumaye, ubora wa elimu hauwezi kupatikana kwa...
9 years ago
Mtanzania05 Dec
‘Sekta ya Elimu taabani’
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
UBORA wa elimu katika Serikali ya Awamu ya Nne umetajwa kushuka kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu kutokana na kukosekana kwa falsafa ya kuendeleza elimu licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa Uzinduzi wa Ripoti ya Elimu ya Miaka 10 ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, John Kalage, alisema katika kipindi cha uongozi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GykVw44HF_Y/XufiPYaL0TI/AAAAAAALt9w/C7WNEcIWcDkwxesEh48Z1p_2n0LKaYZXQCLcBGAsYHQ/s72-c/JPEG.-NA.-1.jpg)
Dkt. Chaula aahidi kuleta mabadiliko Sekta ya Mawasiliano, asisitiza uwajibikaji na mahusiano bora kazini
![](https://1.bp.blogspot.com/-GykVw44HF_Y/XufiPYaL0TI/AAAAAAALt9w/C7WNEcIWcDkwxesEh48Z1p_2n0LKaYZXQCLcBGAsYHQ/s640/JPEG.-NA.-1.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na wafanyakazi wa Sekta yake katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa TBA, Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Jim Yonazi na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utumishi na Rasilimali Watu, Kitolina Kippa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/JPEG.-NA.-2.jpg)
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Mawasiliano, Bi Laurencia Masigo, akiwasilisha hoja za wafanyakazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...