Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHUGHULI ZA UTALII KUANZA TENA NCHINI.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla, leo ametoa mwongozo kuhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini katika kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID -19

Akizungumza na waandishi wa habari jijini leo, Dkt. Kigwangalla amesema shughuli za Utalii zimeanza tena rasmi leo huku akisisitiza kuwa, Tanzania itafuata utaratibu wa kujikinga na kuwakinga watalii dhidi ya ugonjwa wa COVID - 19 kwa kufuata na kuzingatia maelekezo ya Wizara ya Afya na Shirika la Afya Duniani (...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA TAIFA WAUENDESHAJI WA SHUGHULI ZA UTALII NCHINI TANZANIA WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Wadau wa Sekta ya Utalii na Waandishi wa Habari leo jijini Arusha wakati wa Uzinduzi rasmi wa Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Kulia) na Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Shughuli ya uokoaji zimeanza tena Ufaransa

Ndege za uokoaji zimerejelea shughuliHali ya anga imeathiri uokoajiHali ya hewa katika Milima ya Alps nchini UfaransaJamaa na marafiki ya walioathirika wakitoa rambirambi zaoNdege za uokoajiUtafutaji miili ukiendelea
Polisi nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la utafutaji miili ya watu wapatao mia moja na hamsini katika eneo la ajali ya ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.
Siku ya jana ndege ya Ujerumani ilianguka katika eneo la milima ya Alps huko Ufaransa na...

 

9 years ago

StarTV

Bandari ya Bukoba yaanza tena shughuli zake.

Manispaa ya Bukoba  imeiruhusu bandari ya Bukoba kuendelea na shughuli za kawaida kufuatia hatua ya uongozi wa Bandari hiyo kukamilisha ujenzi wa choo cha kisasa,tofauti na kile chaawali ambacho kilidaiwa na uongozi wa Manispaa hiyo kutiririsha maji taka kuelekea Ziwani na kusababisha Bandari hiyo kufungiwa  kipindi cha takribani mwezi mmoja .

Meli ya Mv Serengeti ambayo kwa muda wote  ilikuwa ikiitumia bandari ya Kemondo iliyopo  kilometa saba kutoka mjini Bukoba, imeshuhudiwa ikitia nanga...

 

10 years ago

Mwananchi

Morogoro mnachelewa nini kuanza utalii wa chakula?

Wiki iliyopita nilikuwa na safari ya Iringa. Nikiwa njiani na kufika eneo la Lugono (almaarufu kama kituo cha kujisaidia) hadi maeneo ya Melela nimeshuhudia juhudi za vijana wa maeneo hayo na pia wageni hususani Masai, walivyoweza kubadilisha eneo hilo kuwa ni kituo cha chakula hasa nyama za kuchoma, mishikaki na vinywaji.

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA UTALII TANZANIA: TUPO TAYARI KUANZA KUPOKEA WATALII

Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam, kuhusu kurejeshwa kwa huduma za utalii nchini, kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa TTB, Bi. Devota Madachi.



Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akifafanua jambo katika Mkutano wake na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam, kuhusu kurejeshwa kwa huduma za utalii nchini.



Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii...

 

9 years ago

BBCSwahili

Safari za treni kuanza tena Denmark

Usafiri wa treni nchini Denmark umejea tena baada ya hapo kusitishwa kwenda na kutoka Ujerumani baada ya kutokuelewana kati ya polisi na mamia ya wahamiaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya amani Burundi kuanza tena

Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanatarajiwa kuanza tena leo baada ya kusitishwa, kwa siku kadhaa.

 

11 years ago

Habarileo

Safari treni za TRL kuanza tena

TRENI ya abiria iendayo bara inatarajiwa kuanza tena huduma zake wiki ijayo baada ya kukamilika ukarabati wa daraja eneo la Bonde la Mto Ruvu, mkoani Pwani.

 

11 years ago

Michuzi

FURSA: MAFUNZO YA KUPIGA ALA ZA MUZIKI KUANZA TENA MWEZI MEI

Action Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.
Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala za muziki zikiwemo gita, kinanda, tarumbeta, saxophone, konga, drum set, na upigaji wa ngoma za asili. Pia yatatolewa mafunzo ya ‘body percussion’ yaani matumizi ya mwili katika kutengeneza midundo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani