Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Morogoro mnachelewa nini kuanza utalii wa chakula?

Wiki iliyopita nilikuwa na safari ya Iringa. Nikiwa njiani na kufika eneo la Lugono (almaarufu kama kituo cha kujisaidia) hadi maeneo ya Melela nimeshuhudia juhudi za vijana wa maeneo hayo na pia wageni hususani Masai, walivyoweza kubadilisha eneo hilo kuwa ni kituo cha chakula hasa nyama za kuchoma, mishikaki na vinywaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Forodhani: Mfano mzuri wa utalii wa chakula

Moja ya maeneo yenye vivutio vikubwa kwa utalii mjini Zanzibar ni Forodhani, mbele ya jumba la makumbusho la Betel-al-jaib- Nyumba ya Maajabu.

 

11 years ago

Mwananchi

Utalii wa chakula unaweza kuchangia maendeleo ya uchumi

Tatizo la Watanzania wengi ni kuwa wana uelewa mdogo kuhusu dhana ya utalii. Wengi wanafikiri utalii ni kwenda mbuga za wanyama na kutembelea magofu tu.

 

5 years ago

Michuzi

SHUGHULI ZA UTALII KUANZA TENA NCHINI.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla, leo ametoa mwongozo kuhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini katika kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID -19

Akizungumza na waandishi wa habari jijini leo, Dkt. Kigwangalla amesema shughuli za Utalii zimeanza tena rasmi leo huku akisisitiza kuwa, Tanzania itafuata utaratibu wa kujikinga na kuwakinga watalii dhidi ya ugonjwa wa COVID - 19 kwa kufuata na kuzingatia maelekezo ya Wizara ya Afya na Shirika la Afya Duniani (...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, CHAKULA ULE WEWE KWA NINI UWAKERE WENZAKO?

Shoga zangu, leo nitazunguma nanyi ‘topiki’ inayohuwahusu wenzetu wanaoishi katika nyumba ambazo hazina silingibodi.Naamini hakuna mtu asiyejua maana ya silingibodi, kama wapo ambao nitakuwa nimewaacha hewani, namaanisha wenzetu wanaoishi kwenye nyumba ambazo darini hakujazibwa. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1GiCHTx

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA UTALII TANZANIA: TUPO TAYARI KUANZA KUPOKEA WATALII

Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam, kuhusu kurejeshwa kwa huduma za utalii nchini, kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa TTB, Bi. Devota Madachi.



Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akifafanua jambo katika Mkutano wake na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam, kuhusu kurejeshwa kwa huduma za utalii nchini.



Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii...

 

10 years ago

GPL

PSPF YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KWA WALIMU MJINI MOROGORO

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akiteta jambo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Afande Leonard Paul, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mfuko huo kwa baadhi ya wachezaji wa timu ya polisi mkoani Morogoro na wajumbe wa  idara ya utumishi wa walimu wanaohudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo mkoani Morogoro.… ...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KWA WALIMU MJINI MOROGORO

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akiteta jambo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Afande Leonard Paul, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mfuko huo kwa baadhi ya wachezaji wa timu ya polisi mkoani Morogoro na wajumbe wa  idara ya utumishi wa walimu wanaohudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo mkoani Morogoro, Alhamisi Oktoba 23, 2014. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisalimiana na baadhi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Nini kifanyike katika Sekta ya utalii ndani ya utawala unaokuja? 2015-2025

utawala unaokuja

Tanzania katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, 2005-2015, imeweza kukuza uchumi wake kupitia sekta ya utalii, hasa kwa kuwa na maendeleo makubwa katika kuongeza ajira, ongezeko la fedha za kigeni na kuifanya nchi kutambulika kitaifa.

Sekta ya utalii Tanzania 2014, iliweza kuongeza pato la taifa kwa 14%, ambapo ni sawa na billioni za Kitanzania 8,252.7 na kukadiriwa kupanda kwa 1.3%mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2015. Kwa upande mwingine sekta hii haijafanya vizuri zaidi ukiringanisha...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI RASMI WA MAISHA PLUS, MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2013 , KINGOLWIRA MOROGORO WAFANA‏

Bwana Ali Masoud au Maarufu kwa Jina la' Masoud Kipanya' na ambaye Mkurugenzi Mtendaji wa Maisha Plus, akizungumza na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula 2013 Kingolwira Morogoro , pia kumkaribisha Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh. Anthony Mtaka kufanya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh. Anthony Mtaka, Akizungumza pamoja na wakazi wa eneo la Kingolwira pamoja na wageni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani