Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAASKOFU ANGLIKANA WAITAKA JAMII KUUNGANA NA JUHUDI ZA SERIKALI KUKABILIANA NA COVD_19


Askofu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt.Mahimbo Mndolwa akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha leo picha na Ahmed Mahmoud Arusha

Na Ahmed Mahmoud Arusha

Katika kukabiliana na ugonjwa wa corona nchini ,kanisa la Anglikana limetangaza kuongeza ibada zake katika makanisa yake yote ili kuondoa msongamano ambao ungeweza kusababisha maambukizi zaidi ya ugonjwa huo.

Akitoa tamko hilo jijini Arusha mbele ya maskofu 28 wa dayosisi za kanisa hilo, Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake sasa kuwa maaskofu - Anglikana

Baraza kuu la kanisa la Kianglikana Uingereza, The General Synod, limeidhinisha wanawake kuwa maaskofu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Anglikana kukabiliana na hewa ya Carbon

Kanisa la Kianglikana nchini Uingereza linauza kampuni zake za uwekezaji zinazohusika na kuchimba makaa ili kukabiliana na hewa ya Carbon

 

9 years ago

Michuzi

WACHUNGAJI 200, MAASKOFU 50 KUUNGANA NA JK TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

Na Mwandishi WetuVIONGOZI  wa kiroho 250 wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kikristo wamealikwa kushiriki kwenye Tamasha la Amani Jumapili wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa kati ya viongozi hao 200 ni Wachungaji na 50 ni Maaskofu.
“Idadi inaweza kuwa kubwa zaidi, lakini hadi sasa niseme hao ndiyo ambao tuna uhakika nao watashiriki katika Tamasha la...

 

5 years ago

CCM Blog

ZARIF: UMEFIKA WAKATI WA DUNIA KUUNGANA KATIKA KUKABILIANA NA UBAGUZI WA RANGI

Zarif: Umefika wakati wa dunia kuungana katika kukabiliana na ubaguzi wa rangiWaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa Twitter akiashiria mauaji ya kusikitisha yaliyofanywa na polisi ya Marekani dhidi ya Mmarekani mweusi ambaye hakuwa na silaha ya aina yoyote katika mji wa Minneapolis na kusema: Umewadia wakati wa dunia kuungana kwa ajili ya kukabiliana na ubaguzi wa rangi.Muhammad Javad Zarif ameashiria jinsi maisha ya Wamarekani weusi yanavyopuuzwa nchini Marekani na kuandika kuwa, kwa muda mrefu sasa suala la kupambana...

 

9 years ago

StarTV

Jamii yatakiwa kuungana kuvidhibiti vitendo vya ukatili

Kukithiri kwa ukatili katika jamii nchini hakupaswi kufumbiwa macho na badala yake nguvu ya pamoja ya kudhibiti vitendo hivyo inahitajika ili kuwanusuru waathirika.

Kutokana na takwimu za Taasisi ya takwimu Tanzania za mwaka 2010 za vitendo vya ukatili ambavyo vimeshamiri katika mikoa ya kanda ya ziwa zinaonyesha kuwa mkoa wa Mara unaongoza kwa asilimia 66  na mikoa ya Mwanza na Geita ikifuatia kwa asilimia 56  kila mmoja wakati mkoa wa Kagera ukiwa na asilimia 49 ya vitendo hivyo.

Kauli ya...

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA MAASKOFU (TEC) LASITISHA UIMBAJI IBADA ZA MISA KUKABILIANA NA CORONA

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na  Corona kwenye masuala ya ibada
TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada isitumie muda mrefu
Pia mafundisho ya dini kwa watoto na makundi mengine yamesitishwa. Mafundisho yataendelea kwa njia nyingine kama kujisomea katekisimu au njia ya mtandao
Pia kanisa litazingatia umbali wa mtu...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema waitaka Serikali isiingilie kampeni

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema Taifa, John Heche, amekemea vitendo vya viongozi wa Serikali ya vijiji kuwatisha wananchi wanaojitokeza kuhudhuria mikutano ya kumnadi mgombea wa Chadema, Grace Tendega.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi waitaka Serikali itengue agizo la Pinda

Wakazi wa Kata ya Gararagua Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali itengue uamuzi uliotolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wa kuridhia kuuzwa kwa shamba la Gararagua lenye ukubwa wa ekari zaidi ya elfu tatu, ili kulipa deni la Sh bilioni 3.9 inalodaiwa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) na benki ya CRDB.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani