Wananchi waitaka Serikali itengue agizo la Pinda
Wakazi wa Kata ya Gararagua Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali itengue uamuzi uliotolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wa kuridhia kuuzwa kwa shamba la Gararagua lenye ukubwa wa ekari zaidi ya elfu tatu, ili kulipa deni la Sh bilioni 3.9 inalodaiwa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) na benki ya CRDB.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Chadema waitaka Serikali isiingilie kampeni
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Wafamasi waitaka Serikali kuyabana maduka ya dawa
10 years ago
StarTV22 Dec
CCM Mwanza waitaka Serikali kusimamia sheria
Na Abdalla Tilata, Mwanza.
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza imeitaka Serikali kusimamia sheria ili kuhakikisha kila mwananchi anapata uhuru wa kuchagua kiongozi anayemtaka katika chaguzi mbalimbali badala ya kushinikizwa.
Tamko hili la Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza limekuja ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na katika baadhi ya vituo wananchi kufanyiwa fujo na baadhi ya wafuasi wa vyama vya...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-nGcwSmNXpb8/U-M5fsMLTrI/AAAAAAAABcw/5wuXBBqExTw/s72-c/Unknown.jpeg)
Pinda atoa agizo kubadili wafugaji
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameagiza watendaji kuhakikisha wanabadili fikra za wafugaji ili kuwawezesha kuendesha ufugaji wa kisasa na wa kibiashara, badala ya kuendelea na ule uliozoeleka, ambao hauna tija kubwa katika kukabiliana na umasikini.
![](http://2.bp.blogspot.com/-nGcwSmNXpb8/U-M5fsMLTrI/AAAAAAAABcw/5wuXBBqExTw/s1600/Unknown.jpeg)
Alitoa agizo hilo jana wakati akizindua mashindano ya Maonyesho ya Mifugo, ambayo kitaifa yanafanyika Dodoma katika viwanja vya Maonyesho ya Nanenane vilivyopo Nzuguni mjini hapa.
Pinda alisema ni lazima wizara ibadili fikra...
10 years ago
VijimamboWADAU WA ELIMU WAITAKA SERIKALI KUPANDISHA WASTANI WA UFAULU
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Agizo la JK lataabisha wananchi
AGIZO la Rais Jakaya Kikwete kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini, kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara ifikapo Novemba mwaka huu, limegeuka neema kwa baadhi ya watendaji wasio waadilifu kutumia nafasi...
9 years ago
StarTV14 Aug
TALGWU waitaka serikali kuwalipa stahiki zao shilingi bil.18
Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi Serikali za Mitaa TALGWU Mkoani Mwanza wameitaka serika kuwalipa stahiki zao haraka kiasi cha shilingi billion 18 ikiwa ni moja ya malimbikizo ya stahiki zao.ahadi ya serikali
Wamesema kuwa licha ya Rais wa jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwetwe kutoa tamko la kulipa malimbikizo ya madeni kuwalipa kabla ya juni 30 mwaka huu lakini mpaka sasa hayajafanyiwa kazi jambo ambalo wamesema linawaweka katika mgumu.
Madai hayo yametolewa...
10 years ago
Mwananchi11 Jan
SAKATA LA IPTL: Mabalozi waitaka Serikali kuchukua hatua kali
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_R3qJR-cmnw/VPh4QbR4GaI/AAAAAAABa6E/ezQGOHTCPk4/s72-c/DSC_0694.jpg)
WAFANYABIASHARA WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA KODI
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Dar es salaam (JWT), Philimon Chonde amesema suala la kupandishwa kwa kodi kwa asilimia mia moja limepitishwa kinyemela bila ya wao kuwashirikisha wala kujadiliana na wafanyabiashara hao.
Akizungumza leo katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Lamada Hotel jijini Dar es Salaam ukiwashirikisha wabunge, ameeleza kuwa mfumo wa kodi uliopo umekaa kikoloni kwani unawakandamiza wafanyabiashara ili waendelee kuwa ...