Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YATOA MWENENDO WA KAMPENI ZAKE

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, January Makamba. Tunapenda kuwataarifu wanachama wetu na umma wa Watanzania kuhusu masuala yafuatayo: Mwenendo wa Kampeni za CCM Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, na Mgombea Mwenza, Ndugu Samia Hassan Suluhu, wameendelea kufanya kampeni katika maeneo mbalimbali nchini. Hadi jana, tarehe 10.10.2015, Dkt. Magufuli alikuwa amekwishatembelea Mikoa 22 na Majimbo 203....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete akutana na waandishi wa habari, kuzungumzia mwenendo wa kampeni zake

MMG27264

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake wa kuzungumzia mwenendo mzima wa Kampeni zake,leo April 4,2014,Nyumbani kwake Msoga.(Picha na Othman Michuzi).

MMG27275

 

9 years ago

GPL

MWENENDO WA KAMPENI ZA CCM

Mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, January Y. Makamba. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tumewaita kuwaomba mtusaidie kufikisha ujumbe ufuatao kwa Watanzania:
MWENENDO WA KAMPENI ZA CCM
Hadi jana, tarehe 16 September 2015, Mgombea Urais wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli, alikuwa amekwishafanya kampeni katika mikoa 12 na Majimbo 94. Amekwishafanya mikutano mikubwa ya hadhara 76 na mikutano ya barabarani 381. Amekwishatembea,...

 

9 years ago

StarTV

CCM Kilimanjaro yatoa tamko juu ya mwenendo wa uchaguzi

Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro umeiomba  serikali kuweka sheria madhubuti zinazolenga kuthibiti wasimamizi wa uchaguzi ambao wanakiuka sheria na kanuni za Tume ya taifa ya uchaguzi NEC kwa kusababisha vurugu katika zoezi  la uhesabuji wa kura.

Kauli hiyo inakuja kufuatia kuwepo kwa malalamiko mengi ya wagombea wa kiti cha  ubunge na udiwani  katika baadhi ya majimbo mkoani humo kulalamikia  zoezi la uchaguzi kutokuwa  huru na...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

9 years ago

Vijimambo

11 years ago

Michuzi

CCM YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Saleni,Kata ya Lugoba ndani ya Jimbo hilo wakati akiendelea na Kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze leo Machi 26,2014. Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa muendelezo wa Mikutano ya Kampeni za...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akimuinua Mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana pamoja na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakiwapungia mkono wananchi wa Jimbo la Chalinze na...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano wa kufunga Kampeni za CCM,zilizofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani