Pinda akagua miradi mbalimbali jiji la TOKYO
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya vyakula vya Kitanzania vilivyosindikwa kitalaamu, Afisa Mtendaji Mkuu na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Sumitomo ya Japan,Bw.Michihiko Kanegae baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya New Otani, Tokyo, Machi 16, 2015. Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa mtambo wa kufua umeme kwa kutumia gesi katika eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam hivi karibuni. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Masuala ya Miundombinu ya Umeme wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
PINDA akagua miradi mbalimbali Iringa mjini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia walimu wa Shule ya Sekondari ya Kihesa, Iringa mjini kabla ya kukagua ujenzi wa Maabara na kuhutubia wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Viti Maalum Ritta Kabati baada ya kufungua kituo cha polisi kilichojengwa na Mbunge huyo SEMTEMA kilichojengwa na Mbunge huyo akiwa katika ziara ya Iringa Mjini Februari 22, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo...
11 years ago
Dewji Blog27 Sep
Kinana akagua miradi mbalimbali Korogwe vijijini
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya siku moja katika wilaya ya Korogwe Vijijini ambapo licha ya kukagua miradi mbali mbali ya ujenzi wa maabara na ofisi za CCM alipata nafasi ya kuwahutubia wananchi na kuwasikiliza .

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuelekeza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi...
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAMILISHA ZIARA YAKE WILAYA YA ILALA,AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO.

10 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA ELIMU WILAYANI MLELE


11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA WILAYANI NZEGA LEO



9 years ago
MichuziWANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.
10 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri Mwandosya akagua Miradi ya Umwagiliaji ,Busokelo, Rungwe
.jpg)
11 years ago
Michuzi31 Jul
MH. MAKALLA AKAGUA MIRADI YA VISIMA VYA MAJI MKURANGA
