Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mwandosya akagua Miradi ya Umwagiliaji ,Busokelo, Rungwe

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Prof. Mark Mwandosya (wa pili kulia) akipata maelezo ya Mradi wa Umwagiliaji wa Mbaka.Utakapo kamilika Mradi utakuwa na uwezo wa kumwagilia hekta 600 kwenye vijiji vya Mbambo,Kambasegele,Katela,na Kapula-Mpunguti.Wananchi 1300 watanufaika na Skimu hii.wengine pichani kutoka kulia ni Gideon Mapunda,Afisa Kilimo,Ndugu Said Mzeru,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busokelo na Mhe. Alfred Mwakasapi,Diwani wa Kata ya Kambasegela;wakiwa kwenye banio la chanzo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwandosya akagua Miradi ya Ujenzi Busokelo,Rungwe Mashariki, mkoani Mbeya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu) Profesa Mark Mwandosya (wa tano kulia)  akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ntaba, Bi. Rebecca Hyera (wa nne kulia) kuhusu sehemu ya Mradi wa Umwagiliaji maji wa Katela - Ntaba ambapo limejengwa ghala la mazao ya mpunga na kakao.Ujenzi wa ghala umetokana na upotevu wa mazao baada ya kukosekana hifadhi.Utawasaidia pia wakulima kupata bei nzuri kwa kuamua wao wenyewe wakati mzuri wa kuuza ziada ya mazao. Ghala hilo lililojengwa...

 

10 years ago

GPL

MWANDOSYA AKAGUA MIRADI YA UJENZI BUSOKELO, RUNGWE MASHARIKI, MKOANI MBEYA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu) Profesa Mark Mwandosya (wa tano kulia)  akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ntaba, Bi. Rebecca Hyera (wa nne kulia) kuhusu sehemu ya Mradi wa Umwagiliaji maji wa Katela - Ntaba ambapo limejengwa ghala la mazao ya mpunga na kakao.…

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya atembelea Mradi wa nyumba 13 za kisasa kwa ajili ya Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo,Rungwe Mashariki

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Kazi Maalim, Mh. Prof. Mark Mwandosya (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkazi wa Mradi wa nyumba 13 za kisasa kwa ajili ya Wafanyakazi wa Halmashauri ya Busokelo zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa, Ndugu Nyangi, wakati alipotembelea mradi huo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AIAGIZA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI KUANISIHA NA KUTOA TAKWIMU SAHIHI ZA ENEO LA UMWAGILIAJI NCHINI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Katikati) akizungumza wakati akizindua Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ndogo ya TANAPA Jijini Dodoma leo Tarehe 12 Machi 2020. Wengine pichani ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya (Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Mhandisi  Marko Ndonde. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akizindua Baraza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri Makalla akagua Miradi ya Visima vya Maji Mkuranga

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akipata maelezo kutoka kwa kiongozi wa Mafundi wa Kampuni ya CDM Smith, John Donoherth, kuhusu ujenzi wa kisima kilichopo Mkwalia Mkuranga ambacho ni moja kati ya visima 8 vinavyofanyiwa utafiti maji wilayani humo. Makalla alifanya ziara ya kukagua miradi ya maji wilayani Mkuranga mkoani Pwani leo. Pia alikagua mradi wa  kisima cha maji cha Nyamato chenye uwezo wa kutoa maji lita 26,000 kwa saa kitakachohudumia wakazi wa vijiji vya  Mvuleni,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA ELIMU WILAYANI MLELE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amekalia oja ya madwati mapya ya plastiki yaliyowekwa kwenye moja ya madara ya shuley amsingi ya Kakuni  wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni Julai 16, 2015Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya msingi ya Kakuni wilayani Mlele Julai 16, 2015. Picha na PMO

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AKAGUA MIRADI YA NYUMBA ZA TBA KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akipiga makofi mara baada ya kufungua nyumba za makazi ya Watumishi wa Umma zilizoko Mbezi Beach (E-NMC) jijini Dar es Salaam. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akifatiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Arch. Elius Mwakalinga.Nyumba ya Makazi ya Watumishi wa Umma ilioko Mbezi Beach (E-NMC) jijini Dar es Salaam kama linavyoonekana.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akitoka kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki akagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na Mradi wa Kuifadhi Mazingira wa Ziwa Victoria LVEMP II

Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Abdulla Saadala jana alishindwa kuzindua Mashine ya kuchakata Alizeti iliyotolewa na Mradi wa kuifadhi Mazingira wa Ziwa Victoria LVEMP II kwa sababu ya kuwa na kasoro ndogo ndogo za kiufundi na utendaji.
Akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Kilulu nje kidogo ya mji wa Bariadi Mkoani Simiyu Mhe. Juma alisema ikiwa ni ahadi yake ya kuzindua mashine hiyo lakini ameshindwa kufanya hivyo baada ya kutokeza kasoro za kiufundi na ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ahoji sababu za miradi ya umwagiliaji kufa

MBUNGE wa Viti Maalum, Kuruthum Mchuchuli (CUF) ameitaka serikali ilieleze Bunge kwanini fedha nyingi za miradi ya kilimo cha umwagiliaji zinatafumwa na wajanja wachache. Alitaka kujua pia watu wanaotafuna fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani