Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahoji sababu za miradi ya umwagiliaji kufa

MBUNGE wa Viti Maalum, Kuruthum Mchuchuli (CUF) ameitaka serikali ilieleze Bunge kwanini fedha nyingi za miradi ya kilimo cha umwagiliaji zinatafumwa na wajanja wachache. Alitaka kujua pia watu wanaotafuna fedha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Miradi mingi yakwamisha kilimo cha umwagiliaji

SERIKALI imesema kuanzishwa kwa miradi mingi na Halmashauri kumesababisha kutokamilika kwa miradi ya kilimo cha umwagiliaji. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfery Zambi,...

 

5 years ago

Michuzi

SITAKI WAKANDARASI WABABAISHAJI MIRADI YA UMWAGILIAJI -KM KUSAYA

Picha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akionesha kusikitishwa kwake na hali ya ujenzi ghala la kuhifadhia mpunga kijiji cha Mbogo Komtonga kutokamilika ndani ya muda wa mkataba.Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof.Riziki Shemdoe kulia wa kwanza ni Mratibu wa ERPP Eng.January Kayumbe. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyeshika kofia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Balozi Joseph Sokoine wakikagua...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya akagua Miradi ya Umwagiliaji ,Busokelo, Rungwe

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Prof. Mark Mwandosya (wa pili kulia) akipata maelezo ya Mradi wa Umwagiliaji wa Mbaka.Utakapo kamilika Mradi utakuwa na uwezo wa kumwagilia hekta 600 kwenye vijiji vya Mbambo,Kambasegele,Katela,na Kapula-Mpunguti.Wananchi 1300 watanufaika na Skimu hii.wengine pichani kutoka kulia ni Gideon Mapunda,Afisa Kilimo,Ndugu Said Mzeru,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busokelo na Mhe. Alfred Mwakasapi,Diwani wa Kata ya Kambasegela;wakiwa kwenye banio la chanzo...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KILIMO AWAAGIZA WAKANDARASI WA SKIMU ZA UMWAGILIAJI KUMALIZA MIRADI HARAKA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Musabila Kusaya, akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi na wakandarasi wa miradi ya Umwagiliaji kilichofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 19 Mei, 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Sehemu ya wakandarasi wa miradi ya Umwagiliaji wakifatilia maelekezo ya Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Musabila Kusaya kilichofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 19 Mei, 2020.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AIAGIZA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI KUANISIHA NA KUTOA TAKWIMU SAHIHI ZA ENEO LA UMWAGILIAJI NCHINI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Katikati) akizungumza wakati akizindua Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ndogo ya TANAPA Jijini Dodoma leo Tarehe 12 Machi 2020. Wengine pichani ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya (Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Mhandisi  Marko Ndonde. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akizindua Baraza...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wizara kuboresha sekta ya umwagiliaji

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imeanzisha tume ya kuboresha sekta ya Idara ya Umwagiliaji na Huduma za Ufundi.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Tanangozi Wanufaika na Umwagiliaji wa Matone

Norbert Kikoti akiwa kwenye chamba lake la nyanya Na Daniel Mbega, Iringa MIAKA mitano iliyopita, hali ya uchumi ya Nobert Rajab Kikoti (59), ambayo kwa asilimia kubwa inategemea kilimo, ilikuwa ya kawaida kama walivyo wakulima wengi wa kijijini kwake Tanangozi mkoani Iringa. Hii ni kwa sababu alikuwa akifuata kilimo cha mazoea kisichozingatia utaalam katika uandaaji wa shamba, uchaguzi wa mbegu bora, uandaaji wake na hata utunzaji wa mimea. “Lakini sasa mambo yamebadilika, mavuno...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani