Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanangozi Wanufaika na Umwagiliaji wa Matone

Norbert Kikoti akiwa kwenye chamba lake la nyanya Na Daniel Mbega, Iringa MIAKA mitano iliyopita, hali ya uchumi ya Nobert Rajab Kikoti (59), ambayo kwa asilimia kubwa inategemea kilimo, ilikuwa ya kawaida kama walivyo wakulima wengi wa kijijini kwake Tanangozi mkoani Iringa. Hii ni kwa sababu alikuwa akifuata kilimo cha mazoea kisichozingatia utaalam katika uandaaji wa shamba, uchaguzi wa mbegu bora, uandaaji wake na hata utunzaji wa mimea. “Lakini sasa mambo yamebadilika, mavuno...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TEKNOLOJIA YA UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE ITAKUZA KILIMO CHA MATUNDA NA MBOGA KWA WAKULIMA

Mtaalamu wa Mradi wa Kilimo chenye tija Tanzania (TAPP ), Mussa Madurufu ( anayenyosha mikono) akitoa elimu ya namna ya kuendesha wa kilimo cha bustani ya nyanya kwa njia ya teknolojia mpya ya umwagiliaji kwa njjia ya matone wakati wa maadhimisho ya siku ya wakulima Julai 20, 2015 katika bustani ya vipando vya mboga na matunda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), maonesho yaliyodhaminiwa na Asasi kilele ya sekta binafsi yenye lango kuu la kuhamasisha maendeleo ya kilimo cha mazao ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AIAGIZA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI KUANISIHA NA KUTOA TAKWIMU SAHIHI ZA ENEO LA UMWAGILIAJI NCHINI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Katikati) akizungumza wakati akizindua Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ndogo ya TANAPA Jijini Dodoma leo Tarehe 12 Machi 2020. Wengine pichani ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya (Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Mhandisi  Marko Ndonde. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akizindua Baraza...

 

9 years ago

Michuzi

WAZAZI WAMETAKIWA KUWAPELEKA WATOTO KUPATA MATONE YA VITAMIN 'A'


Na Chalilla Kibuda,Globu ya JamiiWAZAZI na walezi nchini wametakiwa kuwapeleka 
watoto wao kwenye vituo vya afya ili wakapate matone 
ya vitamini A na dawa za minyoo ili kujikinga na maradhi mbalimbali yatokanayo na kukosekana kwa vitamini 'A'.
Wito huo umetolewa Dar es Salaam na Mtaalamu wa 
Chakula na Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na LisheTanzania (TFNC), Francis Modaha, wakati alipokuwa 
akizungumza na waandishi habari kuhusu uhamasishaji wa utoaji wa matone ya vitamini A na dawa za...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MGIMWA ACHANGIA VICOBA TANANGOZI ,ASEMA NDOTO YAKE KUWA NA BENKI YA WANANCHI WA JIMBO LA KALENGA

Wanachama  wa  kikundo cha  VICOBA cha  Lukindo woman Group wakimvisha  mavazi ya uchif mbunge wa  jimbo la kalenga Bw Godfrey Mgimwa baada ya  kufurahishwa na jitihada zake  jimboni  humoWanachama  wa  VICOBA  Tanangozi  Kalenga  wakimshangilia mbunge  wa  jimbo la kalenga Godfrey MgimwaMbunge wa   jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa katikati akipokelewa kijiji cha Tanangozi wakati  wa harambee ya  kuchangia VICOBA.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

11 years ago

Mwananchi

Wizara kuboresha sekta ya umwagiliaji

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imeanzisha tume ya kuboresha sekta ya Idara ya Umwagiliaji na Huduma za Ufundi.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA


 Na Pamela Mollel, Arusha.

KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5  ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira

Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema malengo ya Serikali ni kukifanya kilimo cha umwagiliaji kuleta mapinduzi ya kijani.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Skimu za umwagiliaji kuondoa njaa Iringa

Bwawa la Mkungugu katika Tarafa ya Isimani linalotumika kwa umwagiliaji, uvuvi na shughuli nyingine za kijamii. Na Daniel Mbega, Iringa CHESCO Mlomo (46), mkazi wa Kijiji cha Mkungugu katika Tarafa ya Isimani wilayani Iringa, anaamini wimbi la njaa litapungua katika familia yake na hata za wakazi wengine wa kijiji hicho. Ukame ambao umelikumba eneo lote la Isimani kwa miaka zaidi ya 20 umesababisha mazao kushindwa kustawi vizuri hata wakati huu masika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani