WAZAZI WAMETAKIWA KUWAPELEKA WATOTO KUPATA MATONE YA VITAMIN 'A'
![](http://4.bp.blogspot.com/-R2fFmfOR9tE/VnE4vy5s99I/AAAAAAAIMss/4PCgOfVXrGU/s72-c/ummy-mwalimu-oct25-2013.jpg)
Na Chalilla Kibuda,Globu ya JamiiWAZAZI na walezi nchini wametakiwa kuwapeleka
watoto wao kwenye vituo vya afya ili wakapate matone
ya vitamini A na dawa za minyoo ili kujikinga na maradhi mbalimbali yatokanayo na kukosekana kwa vitamini 'A'.
Wito huo umetolewa Dar es Salaam na Mtaalamu wa
Chakula na Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na LisheTanzania (TFNC), Francis Modaha, wakati alipokuwa
akizungumza na waandishi habari kuhusu uhamasishaji wa utoaji wa matone ya vitamini A na dawa za...
Michuzi