Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara kuboresha sekta ya umwagiliaji

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imeanzisha tume ya kuboresha sekta ya Idara ya Umwagiliaji na Huduma za Ufundi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema malengo ya Serikali ni kukifanya kilimo cha umwagiliaji kuleta mapinduzi ya kijani.

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA


Na. WAMJW-DSM

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA WIZARA YA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI ZALENGA KUBORESHA UHUSIANO WA TANZANIA KIMATAIFA.

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Bernard Membe akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2015/2016 bungeni leo mjini Dodoma.  Mabalozi wa Tanzania kwenye nchi mbalimbali duniani wakifuatilia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka 2015/2016 iliyowasilishwa leo bungeni mjini Dodoma. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza kwa makini mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe....

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AIAGIZA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI KUANISIHA NA KUTOA TAKWIMU SAHIHI ZA ENEO LA UMWAGILIAJI NCHINI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Katikati) akizungumza wakati akizindua Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ndogo ya TANAPA Jijini Dodoma leo Tarehe 12 Machi 2020. Wengine pichani ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya (Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Mhandisi  Marko Ndonde. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akizindua Baraza...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

9 years ago

StarTV

Magufuli kuboresha sekta ya mifugo Karatu

Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi John Pomba Magufuli ameweka  bayana nia yake ya kuboresha bidhaa zitokanazo na mifugo kwa kuweka mazingira safi na yakisasa kwa wafugaji kote nchini.

Katika mkutano wake wa hadhara mjini Karatu mkoani Manyara  Magufuli amesema bidhaa nyingi zitokanazo  na mifugo kutoka nchini Tanzania zimekuwa zikikutana na vikwazo katika masoko ya kimataifa kutoka na mazingira magumu wanayokumbana nayo wafugaji.

Kwa kauli hiyo  Magufuli anajidhatiti kuleta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuboresha uwekezaji sekta ya nishati

SERIKALI imekusudia kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji katika sekta ya nishati zikiwamo kampuni zake. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Charles Kitwanga, alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Nalopa wazungumzia sekta binafsi kuboresha elimu

SERIKALI imeombwa kushirikisha sekta binafsi katika uandaaji wa mitaala ya kitaaluma na usahihishaji wa mitihani kwa shule za msingi, sekondari na vyuo kuboresha mitaala hiyo na kuinua kiwango cha elimu.

 

11 years ago

Habarileo

Mhadhiri ataka umakini sekta binafsi kuboresha elimu

IMEELEZWA kuwa ni hatari uwekezaji kwenye elimu nchini kufanywa na watu wasio na elimu ili mradi awe na pesa za majengo na vifaa mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani